Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Naomba tafsiri iliyo KUNTU kabisa ya neno " amemkojoza " kwani binafsi nimetokea kulipenda ila sijajua tu maana yake.
Hahahahahah hiyo ndio heshima ya ndoa mkuu.. Mkiingia kwenye ndoa mtaelewa vijana.. Usione baba yako anaandaliwa chakula maalum ukafikiri anapendelewa kazi anayoenda kufanya ni kubwa. Kukojoza ni zoezi gumu.
 
Samahani nduguu zangu..nimejaribu kuusikiliza wimbo Ndo Ndo..una Maana Gani kidogo vilee..seriously.. Sijaambuliaa mwenzenu. Everhurt..nifafanulie.my sweetheart
 
Amekosea sana kutamka maneno hayo. Mbona ipo wazi hakuwa na haja ya kusema hayo. Ukimtambulisha mkeo kwa watu hawatakuuliza kuwa unachapa? Kwa sababu neno mke wangu limeshabeba kila kitu.

Alitakiwa akae kimya au ajibu kwa mkato tu sina ugomvi naye.
Umemaliza mkuu, kwani watu hatujui kama walikuwa wanasaidiana kuvuana zile nguo za ndani? Jamani kuna ulazima wa kicheni pati za wanaume. Lasivyo tutaendelea kudhalilishwa anatutia aibu wanaume
 
ni ujinga kusema maneno kama hayo kwa mtu ambae amekulea wewe na mwanao kama kula kulala kwa miaka yote hyo
 
Nimeisikiliza hiyo clip sidhani kama ina udhalilishaji wowote ... Hapo tatizo ni faragha imewekwa bayana ila hakuna udhalilushaji
 
Sawa tu.... sawa kabisaa. Yeye G katungiwa wimbo kabisa.. hili movie bado bichi...

let see
 
Sasa sijui alikuwa anamkojoza saa ngapi wkt muda mwingi anakuwa bwii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena bwiiii na mademu anajigjig nao kwenye magari ya Jay dee. Dada wa watu kavumilia mengi sana acha apumzike na sasa hv kapendeza sana.
 
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.


Ninayo video ila sijui jinsi ya kuiweka.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom