Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Hata kama komando ana mapungufu yake ila gadna amshukuru
Gadner kaishi kwenye Nyumba ya komando,msosi wa komando,gari la komando

Lol awashukuru clouds kwa kupewa lile gari tena naskia kakopeshwa anakatwa kwenye salary

@hii vita haihitaji hasira
 
Ni kweli kayasema nimeina video, Lakini kumbuka tangu waachane Jd kaingea mambo machafu sana juu ya Gadna hakuishia hapo kamtungia wimbo jamaa akawa kimya tu, Tuache double standard kwamba Jide ana haki ya kumsema vibaya Gadna na si Gadna kusema lolote.
well said mkuu, gadna amekuwa akikwepa sana kumzungumzia jide lakini jide kutwa kumpiga vijembe hasa insta... watu kimya lakini g akifunguka tu watu wanamjia juu. jide naye aache ukorofi bhana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Hapo juu ya huu ukurasa kushoto kuna avator yako na mwisho kulia kuna neno SEND. Natumai umeviona. Katikati ya hivi vitu kuna icons zooote ya kwanza ipo na kitu kama spana, kuna ya pili inahusu kuondoa formating, tatu inahusu bolding, na kuendelea ukiweka kasa juu ya icons itakuelekeza matumizi ya hiyo icon.

Asante Kwezisho nimekuelewa,nakushukuru sana.ubarikiwe sana.
 
Watu wamepaniki kweli umu ndani kusikia Commando amekojozwa kwa miaka 15 [emoji23][emoji23] mwambieni dada yenu aache ujeuri hapa juzi kasema yeye ndio kamuacha Gadna mkashangilia kweli ila kwa kua ndio ukweli G kapiga kimya leo G kasema ukweli kua Anaconda kakojozwa povu linawatoka,vumilieni ndio haki ilivyo hata kama inauma kausheni mbona Jide kashfa anazitoa kwenye media pia.

Alafu watu wamekomaa kua Gadna mariooo ila wanasahau jamaa ana kazi yake na kipato chake hata kabla hawajaoana na Jide alafu mkumbuke Gadna kafanya kazi na Jide kama familia kuendesha band nk na jamaa alijitoa kafara clouds fm ili awe upande wa mkewe.

Jide ni mwanamke ambae ana matatizo sana acha anyooshwe kila siku analalama yeye kuonewa,kaja na kisu kamkuta Gadna na Shoka haaaaa haaaa simple and clear Komando KAKOJOZWA miaka 15 asante captain kwa kumtuliza ukae kimya wakati unasimangwa akirudi rusha jiwe lingine.
 
Hajitambui , alitaka mke wake akojozwe na nani kama sio yeye. Mxiuuuuuuu
 
well said mkuu, gadna amekuwa akikwepa sana kumzungumzia jide lakini jide kutwa kumpiga vijembe hasa insta... watu kimya lakini g akifunguka tu watu wanamjia juu. jide naye aache ukorofi bhana mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Ni kweli kabisa...Gadna alikuwa kimya siku zote hzi wakati Jide kutwa anampiga jamaa vijembe...Gadna kaja ni upper cut moja tu raia wote wanalalamika
 
Inawezekana ni video ya kipindi Gadna akiwa EFM, ni muhimu kujua kama ni kweli kwa sababu katika hali ya kawaida mwanaume kuja na hiyo kauli lazima tujihakikishie kabla hatujatoa maamuzi ya either kumtoa kwenye chama au kubaki.

Hiyo ni kauli dhalilishi kwetu wanaume na kwa wanawake pia.
ilikuwa jana kwny shindano la miss TIA
 
Watu wamepaniki kweli umu ndani kusikia Commando amekojozwa kwa miaka 15 [emoji23][emoji23] mwambieni dada yenu aache ujeuri hapa juzi kasema yeye ndio kamuacha Gadna mkashangilia kweli ila kwa kua ndio ukweli G kapiga kimya leo G kasema ukweli kua Anaconda kakojozwa povu linawatoka,vumilieni ndio haki ilivyo hata kama inauma kausheni mbona Jide kashfa anazitoa kwenye media pia.
Alafu watu wamekomaa kua Gadna mariooo ila wanasahau jamaa ana kazi yake na kipato chake hata kabla hawajaoana na Jide alafu mkumbuke Gadna kafanya kazi na Jide kama familia kuendesha band nk na jamaa alijitoa kafara clouds fm ili awe upande wa mkewe,Jide ni mwanamke ambae ana matatizo sana acha anyooshwe kila siku analalama yeye kuonewa,kaja na kisu kamkuta Gadna na Shoka haaaaa haaaa simple and clear Komando KAKOJOZWA miaka 15 asante captain kwa kumtuliza ukae kimya wakati unasimangwa akirudi rusha jiwe lingine.
We gadner kiboko, ila naona bado Una hasira nae Sana Tu, loh, kweli jide akome,
 
Makuta, nashukuru kwa kunielewa
Yan kwangu avatar za watu hazionekan, pm hainekan, sehemu ya like haionekan, huo upande uliosema wapo mods siwaoni, Picha hazifunguki, Yan Ni balaa Boss, embu nisaidie Mkuu
 
Jamani mbona mwanamke lukojoa ni sifa,kwanza mwanamke hakojoi kama hanaupendo wa kweli dizaini unakua umebakwa kazi kwa mwanaume kama alikua sex worker basi asidhani inakula kwajide ilikula kwake alietumika kumpa raha mwenzie...The ndi ndi ndiiii
 
Back
Top Bottom