Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Niliwezaje kutoa vyote?
Ili hali wewe ulinyima vyote
Kama ni jipu lilivimba zaidi
Nikasahau chizi huwa haponi
Kama chozi mvuani
Hatimaye kumekucha
Milembe nimekushusha
Na geti likifungwa
Naondoka ndi ndi ndi!
 

Ndio maana Limariooo lako limeshushwa mirembee.. chezea commando Jide.. mwanaume kama binti..anaboa huyo G
 
Gadner alikuwa kupe kwa jide wala si mume.
na jide anaye a some kuwa kulazimisha penzi malipo ndo hayo!
 
Kwenye hicho kituo cha habari nadhani wenye nidhamu hawazidi mmoja na nusu.........
 
Hivi umeisikiliza kweli?
 
Basi fanya hivyo maana majibu yote yako kwenye video ungeisikiliza usingeyauliza

Mkuu hayo maswali yaliulizwa kabla haijaletwa humu, ngoja niisikilize mkuu.
 
Napenda kumshauri Kigwangala kwamba wale waliotukanwa na Mbunge wa Ulanga aka Mtoto wa Marehemu Kombani walikuwa jinsia gani??Kama ulishindwa kutetea wale basi hata huyu huna mandate ya kutetea ufunge kinywa chako tuache wanawake tujitetee wenyewe. Huna Mandate wala moral authority ya kumuita Balozi wa wanawake wakati wabunge wa upinzani wakidhalilishwa ulichekelea na kupiga meza Kwa nguvu zote.

Kuna wengine hatupendi unafiki.Acha unafiki Kigwangala aliyekupa huo ubalozi nani??
 
Jamaa kachemsha! In fact katokotesha. Nimesikiliza ile clip nimeshindwa kuamini; Unless he was "under the influence" of some sort. Kama nia yake ilikuwa ni kumdhalilisha Jide, imekula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…