Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Amekosea sana kutamka maneno hayo. Mbona ipo wazi hakuwa na haja ya kusema hayo. Ukimtambulisha mkeo kwa watu hawatakuuliza kuwa unachapa? Kwa sababu neno mke wangu limeshabeba kila kitu.

Alitakiwa akae kimya au ajibu kwa mkato tu sina ugomvi naye.
 
kweli waTz ni wanafki,yule mbunge kasema wabunge wa viti maalum wanaitwa baby ili wapate ubunge watu wamekaa kimya awajasema ni udhalilishaji,ila uyu kasema kamkojoza jidee kwa miaka 15 mnatoa mapovu eti unadhalilishaji.Sijui tulimkosea nini Mungu hadi akatupa hii adhabu ya unafiki
 
Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar
Mbona kama umetoka nje ya mada? Kwani mwanaume wa mkoani asingeweza kutamka haya maneno? Shame goes back to the sender!
 
Ukweli kabisa ndg yng wtz tuko biased sana[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kwani Gadina hakuelezea kabisa iwapo Jide anajua kukata viuno? Maana anaoneka ana K kavu sana yule bila mate huingii pale[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
Wazinzi hamjifichiii [emoji86] !
 
Huyu Gadner Naamini Ni Mvulana Bado Hajawa Mwanaume Kabisa . Hiyo Lugha Gani Ametoa Ambayo Imejaa Ukakasi Na Ujinga Wa Kiwango Cha Juu!!!!
 
Ya Musa na Firauni haya!
Kamkojoza miaka 15 kaondoka na deck tu (Dvd player)ha ha! Alipaswa kujisifia hadharani kweli? Who fools who?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
 
Kwa kauli hiyo Inadhihirisha anaugomvi na Mamaa ya ndi ndi ndi
 
Tuma Kwangu.... Nipate umbeya W kuanzisha kesho job
 
Kipindi gadner akiwa Efm sidhani kama wimbo wa ndi ndi ndi ulikuwa umetoka??
 
Video kwanza. ........

Tunaweza kuhukumu kumbe tumeuzwa. .....
 
Kipindi gadner akiwa Efm sidhani kama wimbo wa ndi ndi ndi ulikuwa umetoka??

Wimbo ulikuwa umeshatoka mkuu, ukiangalia You Tube, kuna audio ilikuwa uploaded tar 20 March, wakati huo Gadna alikuwa yuko EFM, Gadna kahamia Clouds April mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…