Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Tehetehe

Bora ampotezee Maana anazidi kutukanika
 
Hahahahahahaa eti "nimemkojoza"!,lakini demu naye anayataka,mara mwanaume kama binti..mara yahaya..mara ndi ndi ndi..(aliondoka na cd tu) kwahiyo miaka yote alipokuwa anamsimamia show zake,mpaka akaacha kazi clouds ili aweze kusimamia biashara zake alikuwa anafanya bure..malipo yake ni kukashifiwa na jide?Ameyataka..jide nae sio mtu mzuri sana..
 
Dah! Maneno hayo mbona yana ukakasi kwa kuishi naye muda huo wote si inajulikana tu nini kilikuwa kinafanyika ni lazima kitajwe? Si ndio jukumu la Mario,ujinga mtupu.
 
Pombe mbayaa
 
Inawezekana ukimpiga 0713....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama gadna alitamka kwenye vyombo vya habari kwa kweli amesomea mno awaombe radhi wanawake amewadharir isha.
 
Ukibarikiwa kuwa na kipaji cha kuficha ujinga ni jambo la kumshukuru Mungu, sio kila MTU anacho. Hayo maneno yanaonyesha anaugomvi nae.
Nilikuwa ninamuon Gadna kama kijana wa kiume shabab kwa kunyamaza kimya wakati Jide akilonga.
Wanaume kwenye shingo zetu tuna 'koromelo' hivyo kwenye matatizo ya mahusiano kama hayo tunapaswa kunyamaa
 
Jukwaa la nini na wandaaji walikuwa kina nani?

Make najua Gadna anafanya kazi clouds, jukwaa lolote la clouds halipigi nyimbo ya Jide
Ilikuwa Miss TIA. Ilifanyikia TDS PARK Chang'ombe.
 
teh teh teh huyu kwel mario maana miaka yote akuna anachofanya zaidi ya kupoteza tu aise
 
Hiyo ni defense mechanism ya kujitetea lakini hakutumia hekima katka kutamka
maana unaweza kujishusha heshima kwa lugha unayotumia
watu wenye akili hukaa kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…