Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Sifa mojawapo ya kupaniki ni kutoka nje ya mada,wewe ndiye wakushauriwa USIPANIKI.
Nimekwambia tu ukweli yaani we unajifanya hujui maovu ya jide ila ya gadner unayafahamu sana mpaka kufikia hatua ya kumuhukumu kumbe hata hujui ugomvi ulianzaje...

Endelea kuwa ndani ya mada, mimi natoka
 
amedhalilishaje wanawake maana sauti zinazoshangilia ni za akina mabinti mi naona amedhalilisha wanaume maana mwanaume kamili huwa hatoi habari za ndani na mkewe au aliyekuwa mke wake
 
Watakuwa wamekosea sana wakiutoa maana hii story itakuwa kubwa sana wiki mbili hizi.

Unajua komando hawezi kukubali ipite hivi hivi lazima amjibu kwa mtindo wowote.
Jamaa mpaka sasa yeye ndio yupo defeated maana mara nyingi mwanamke ndo huwa anazungumza sana indi watu wanapoachana but commando amekuwa kimya muda mrefu na nadhani ataendelea kuwa kimya. Jamaa alishahojiwa na kuonekana kujuta kumwacha mke wake wa kwanza
 
Anaongea hivyo kama nani? Je anafahamu ugomvi uliopo baina ya Gadner na Jay Dee? Kwa nini anapenda kuingilia mambo ya chumbani? Je mbona hatoi rai kama hiyo kwa EFM ambao kila uchwao wanashirikiana na Lady Jay DEE kumnanga Gadner na Clouds?
Ohoo,vita imeanza.
 
Shida yako kiwango ilichofika kikali kwakweli..mana nimecheka mno eti kutokana na kumiss baadhi ya mambo humu majukwaani umekonda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba bas uwasiliane Na hao mods maana niemeambiwa wanaonekana upande wa kulia wa jukwaa Hili uwajulishe hivo vishida vyangu nilivovitaja basi wanisaidie maana kumbe nimimi Tu ndo sioni hivo vitu ndugu yangu
 
Jamaa mpaka sasa yeye ndio yupo defeated maana mara nyingi mwanamke ndo huwa anazungumza sana indi watu wanapoachana but commando amekuwa kimya muda mrefu na nadhani ataendelea kuwa kimya. Jamaa alishahojiwa na kuonekana kujuta kumwacha mke wake wa kwanza
 
Hivi kwa nini mwanamke akimkashifu mwanaume ni sawa, lakini mwanaume akirudisha mashambulizi anaonekana ana makosa? Mimi naona wote wana makosa...
Mwanaume kichwa cha familia, vitu vidogo vidogo unatakiwa upige kimya hata kama vinauma
 
Kigwangallah naye sio juzi wamedhalilishwa wanawake wa Ukawa walionyesha hasira zao kwa kutoka nje ya bunge,hakusema neno sababu ni wapinzani lakini siko pamoja na Gardner kwa udhalilishaji wa Jide lakini hii tabia inapaswa kukemewa si na Kigwangallah tu bali na jamii yote kwa ujumla.
 
Hawa wote wawili ni wapumbavu na washamba. Na hilo ni tatizo kubwa sana kati yao. Tumechoka kusikia wakiimbana na kusigana hata sisi wengine ambao hatukuwa tunajua wao ni akina nani mpaka tumejulishwa.wana mambo ya kitoto sana
 
Nimekwambia tu ukweli yaani we unajifanya hujui maovu ya jide ila ya gadner unayafahamu sana mpaka kufikia hatua ya kumuhukumu kumbe hata hujui ugomvi ulianzaje...

Endelea kuwa ndani ya mada, mimi natoka
Naujua sana,ndo maana nimemuomba Jide asijibu.Ila kwa kuwa wewe unajiona mjuaji sana ukadandia tu...baki hivyo hivyo.
 
Hivi ninyi team komando mlivyokua mkimwaga mboga all this time... mlitegemea hakuna siku jamaa atamwaga ugali.!?

kwamba yeye hana nyama right.?.. mnashangaza.
 
Hivi ninyi team komando mlivyokua mkimwaga mboga all this time... mlitegemea hakuna siku jamaa atamwaga ugali.!?

kwamba yeye hana nyama right.?.. mnashangaza.
Shida ni moja tu. Komando hatujamshangaa kwasababu ni mwanamke. Huyu jamaa ni kidume!
 
gadna alionesha busara sana kipindi Cha nyuma kukaa kimya,lkn hapa ndo anataka kuharibu mambo,japo huyo jide nae alikua anaropoka lkn gadna angeonesha ukiume tu! sasa sina uhakika na kinachofata.maana!!
 
Msamehen Gardner life inamchanganya pombe za bure atapata wapi, kwanza cjuh chumba kashapata?
Au kashapata wa kumlea tena?
 
Uwiiiiiiii jamani jamani!
Nimejisikia aibu sana,oh!
[emoji25] [emoji85]
 
Eti kumkokojoza miaka 15 kha?!! Huo ulikuwa ni wajibu wake kama mume na kwan ye hakukojozwa?! Yani analeta za kitooto ka kabalehe juzi juzi, hyo kukojoza tu na ange.....ny.. c ndo angeandaa kipind kabisa.. hana heshima kabisa utafikir hana koromeo dume zima... [emoji57]
 
Mwanaume kushindana na mwanamke ulieachana nae hasa kwa maneno ( mipasho ) ni kujidhalilisha mwenyewe. Mwanamke akiongea mwanaume fanya kwa vitendo maana wanawake wameumbiwa kuongea na ni wepesi kutoa ya moyoni. Lakini mwanaume mtimilifu tumeumbiwa kifua na uwezo wa kuchuja tunachotaka kusema.

Kama alikuwa na akili zake timamu na alidhamiria kusema hayo AMEKOSEA. Kuna kila dalili za mhusika kutoa kauli hiyo akiwa amelewa.

Kauli za KIUME za kuonyesha huna bifu na X wako:-
1. Sina tatizo naye ndio maana nyumba niliyomjengea nimemuachia abaki nayo.
2. Na muheshimu kwa 1,2,3, aliyonifanyia japo tumegombana
3. Naendaga kusalimia na kuwa hudumia watoto kwake kama mmejaliwa kupata watoto enzi zenu.

Na mambo mengi ambayo hata mimi kijana nikisikiliza naona kweli jamaa KIDUME hana tatizo na X wake.

mimi naona kwa kauli kama hii, ni dalili kuwa mwanaume hakuna na jambo lolote la msingi analoweza kujivunia amelifanya kwa X wake zaidi ya kilichosemwa.

"ooohhh nimem............",
sasa unatafutiwa, unapikiwa, unatengewa, unanawishwa mikono na mara nyingine kulishwa ili iweje????? au alafu huduma ikushinde?

yaani Ng'ombe uilishe alafu isitoe maziwa .............. tupa kule

Hata hivyo shukuru Mungu kwa huo uwezo maana hiyo huduma ingeshindikana hata miezi sita isingefika....
 
Back
Top Bottom