Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

1462818726571.jpg
hear saying
[emoji15]
 
Inaonekana maisha yake kabla ya JD alikuwa hajawahi kumkojoza mwanamke sasa anajisifia.
 
Katika ustaraabu wa kawaida kabisa wa masuala ya mapenzi,huwa adimu sana kwa waungwana waliochana kuanza kupondana,hili la Gadner ni nini jamani limenifanya kuendelea kutafakari.
 
Waje wataalamu wa kiswahili kama kwenye kamusi ya kiswahili kuna kumkojoza na maana yake pengine halipo na halina maana yoyote kwa hiyo udhalilishaji unafutika.
watu wanashupalia bila kuwa na uthibitisho..... Mimi kama mtetezi wa gadner nikisema gadner alikuwa anamaanisha kuwa anamsindikiza mke wake akakojoe mtabisha kwa vigezzo vipi... au ipo maana inayokubalika dunia nzima ya neno kukojoza
 
gadna anajisifia ujinga kukojoleza dem yaan wanaume wa Dar bhana kukojolesha dem imekua dil mm nawakunyiza balaa
 
Hua namonaga gadna Kama mstaarabu lakini Kama kayatamka haya!!! Mungu amsaidie ajitambue
 
watu wanashupalia bila kuwa na uthibitisho..... Mimi kama mtetezi wa gadner nikisema gadner alikuwa anamaanisha kuwa anamsindikiza mke wake akakojoe mtabisha kwa vigezzo vipi... au ipo maana inayokubalika dunia nzima ya neno kukojoza
Watu wanahisi kwa swagga za mtaani alimaanisha hivo udhalilishanaji lakini nako inawezekana hilo neno halipo au ndo kalibuni msela credit be to him!Lakini hata hivyo mi nahisi jamaa nae alikuwa intoxicated japokuwa sio utetezi alovujisha hiyo video kwenye jamii mi naona ndo mdhalilishaji.
 
Wewe ndio mdhalilishaji, kwa kuidhalilisha akili yako., I believe akili yako inapingana na kilichotoka mdomoni.
Jamaa kaweka video ili uma ujue Gadna ni mtu wa aina gani na angesema bila kuweka ushahidi nisingemuamini.
Mkuu iombe radhi akili yako asee.
 
Unashabikia umbea sio?Teh!We ni ke au me!Kama ni me!Du!Kazi unayo!
 
kwa mujibu wa hii video gadner amesema mtoto wa kike ... nyie mnaosema lady jay dee kachafuliwa mnataka kusema neno mtoto wa kike linamaanisha jay dee...si ndio
 
Hili nalo vipi kwani
 
Attachments

  • 1462823085193.jpg
    1462823085193.jpg
    61 KB · Views: 57
hivi kwa nini tunaona Gadna pekee ndo kakosea? Jide amekuwa akimwimba mwenzie kila siku hata kabla hawajaachana-tunakumbuka nini sijui kama mabinti, hivi majuzi kaja na Ndi Ndi Ndi na kusema kamuacha jamaa mirembe hamkupiga kelele!! Hii ya Gadna naiita a knockdown punch, yaani pigo moja mbuyu chini!! sasa wako level, ili Jide aheshimiwe naye ajiheshimu!!!
 
Back
Top Bottom