Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka aona huyu naibu waziri ndo anazalilisha wanaake,kwan mwanamke kukojozwa ni udhalilishaje gan?
watu wanashupalia bila kuwa na uthibitisho..... Mimi kama mtetezi wa gadner nikisema gadner alikuwa anamaanisha kuwa anamsindikiza mke wake akakojoe mtabisha kwa vigezzo vipi... au ipo maana inayokubalika dunia nzima ya neno kukojozaWaje wataalamu wa kiswahili kama kwenye kamusi ya kiswahili kuna kumkojoza na maana yake pengine halipo na halina maana yoyote kwa hiyo udhalilishaji unafutika.
Watu wanahisi kwa swagga za mtaani alimaanisha hivo udhalilishanaji lakini nako inawezekana hilo neno halipo au ndo kalibuni msela credit be to him!Lakini hata hivyo mi nahisi jamaa nae alikuwa intoxicated japokuwa sio utetezi alovujisha hiyo video kwenye jamii mi naona ndo mdhalilishaji.watu wanashupalia bila kuwa na uthibitisho..... Mimi kama mtetezi wa gadner nikisema gadner alikuwa anamaanisha kuwa anamsindikiza mke wake akakojoe mtabisha kwa vigezzo vipi... au ipo maana inayokubalika dunia nzima ya neno kukojoza
Watu wanahisi kwa swagga za mtaani alimaanisha hivo udhalilishanaji lakini nako inawezekana hilo neno halipo au ndo kalibuni msela credit be to him!Lakini hata hivyo mi nahisi jamaa nae alikuwa intoxicated japokuwa sio utetezi alovujisha hiyo video kwenye jamii mi naona ndo mdhalilishaji.
Unashabikia umbea sio?Teh!We ni ke au me!Kama ni me!Du!Kazi unayo!Wewe ndio mdhalilishaji, kwa kuidhalilisha akili yako., I believe akili yako inapingana na kilichotoka mdomoni.
Jamaa kaweka video ili uma ujue Gadna ni mtu wa aina gani na angesema bila kuweka ushahidi nisingemuamini.
Mkuu iombe radhi akili yako asee.