Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Hhhhh huyo gadner ana kidem kama mtoto wake vile
 
Katika mahojiano yaliyofanyika leo kati yake na watangazaji wenzie wa clouds tv Gardner amethibitisha hilo na kudai kama kuna mtangazaji anayemzidi mshahara basi ajitokezeSource Clouds Tv!



Mwisho wa siku hakuna atakayezikwa na sanda nyekundu au kijani, wote ni sanda nyeupe, hivyo regardless of whatever you earn, tambua kuwa duniani tunapita.
 
Milard ayo na kwa jinc anavyopigaa kazii kumbee gardner kamwachaa mbalii kimshaharaa ilaa kimaendeleo ayo yupoo juu ya abashi
 
kashindwa kumzalisha jide hadi akapewa talaka ndo anatutambia mshahara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…