Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

Ilishawahi tokea jamaa alipiga konyagi kapotea kabisa gari kaliacha alipolipaki karudishwa home na gari ya jamaa yake asubuhi kaamka halioni gari home kaenda ripoti polisi ile anawasiliana na jamaa aliokuwa nao wakamwambia rudi pale tulikuwa tunakunywa akaliona kumbe hakurudi nalo
 
Imeibiwa Dar magomeni Mikumi Mtaa wa Kibondo.
Namba za gari T.441 DZD
Sinywi pombe wala situmii kilevi chochote mkuu.
Mkuu hapa mjini mishe nyingi tu zinakurudisha mida hiyo
 
Mkuu mimi situmii na sijawai tumia kilevi cha aina yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…