Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

Kuna watu walikuwa wanatoa battery usiku na wengine wanang'oa staring usiku asubuhi wanarudishia. Ila siku ya kuibiwa itaibiwa Tu cz mwizi hufanya research zake vyema kabla ya kuiba.
 
Niliwahi enda kwa harusi na usafiri wa ofisi, naamka asubuhi siuoni nikajua nishapigwa. Inafika saa nne jamaa wananiambia usafiri waliondoka nao baada ya kunipeleka kwangu, sikuwa na kumbukumbu kabisa na nilishachanganyikiwa
 
Pole sana mkuu...utakuta hao ndo wale vijana wa kupasua vioo na kunyofoa nyofoa vitu mbali mbali..nahisi wakaona isiwe shida wakalisukuma tu kwenye gereji za karibu wakalibomoe lote... mkuu ungepita pita gereji zinazozunguka eneo unaloishi kucheki. Ila pole , inauma sana.
 
Mkuu ushavaa suti uanze kuingia tena mvunguni mwa gari kweli!!?
 
Hii ya chuma umenipa kitu leo, ntaifanya soon
 
Ahsante Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…