Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

Makonda atakuja kufanya mauji ya halaiki hapa Tanzania. Tunzeni huu uzi wandungu. Someni historia ya Hitler na Mussoloni walivyoingia madarakani, na walichokuja kukifanga walipokuwa madarakani.
Tena itapendeza sana akuuwe wewe maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Hakika Lissu wa sasa ni wa MIUJIZA !!!! Ni MZIMU ilio HAI!!! MUNGU AZIDI KUPEWA SIFA .
 
Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
 
Hivi kweli bashite hauna COMMON SENSE Japo KIDUCHU? ok basi hata wanaokuzunguka ni zero kabisa siyo? hata Mkewe ni zero??? Kweli bashite ni mfano halisi MSHAMBA!!!! IGNORANT & STUPID .
 
Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
Issue hapa MAADILI YA KAZI YA UTUMISHI WA UMMA LAZIMA YAZINGATIWE!!!! Mzee makoti nyie machawa ndiyo mnazidi kumuangamiza bashite walaai. COMMON SENSE!!!!!
 
Issue hapa MAADILI YA KAZI YA UTUMISHI WA UMMA LAZIMA YAZINGATIWE!!!! Mzee makoti nyie machawa ndiyo mnazidi kumuangamiza bashite walaai. COMMON SENSE!!!!!
Maadili ya uongozi yanawataka waendeshe land Rover 109 au?
 
Kwa sasa kawaida tu hata kukutana na Crown namba ni DFP!!

Huoni msafara wa LC LX kwenye msafara wa kumleta Lisu mahakamani namba za kiraia T.....EA
 
Kwanza turudi nyuma kidogo asa kwa mtunzi wa wimbo wa taifa la tanzania kuna mstari unasema ivi(MUNGU IBALIKI TANZANIA,WABALIKI VIONGOZI WAKE) sasa jaman tunalalama nini wakati izo ndio baraka zenyewe?
 
Huku Unapishana na mawazir wko na mguu
hali ikitulia ni mwendo wa baiskeli tu

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…