Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Huyo ni mkosa akili. Kushabiki watu badala ya matendo ya mtuKuna mshikaji alikua mwanangu sana ila nimempunguza kwa ishu za kupenda watu wa hovyo jamaa umwambii kitu kuhusu makonda na Kizimkazi nimempunguza na anajua kwanini **** yule
Wengi mnaumia ndani yenu
Unatetea ujinga kuonyesha kuwa wewe ni mjinga wa daraja la juu. Mtumishi wa umma unapata wapi mamlaka ya kubadilisha matumizi ya chombo cha umma.? Hiya gari yake aipaki kwake na siyo kuibandika namba za serikali. Endelea kuutukuza upumbavu ipo siku utajikuta utumwani!Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
Kwapua kwapua nijilimbikizie hiyooo inaitwaSiwezi kiwa na wivu kwenye liabilities. Gari kama hili kwa kazi kama ya Makonda ni liability.
Zaidi.
Sina ulimbukeni na magari.
Nimepark Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje, kijana wangu hajafika miaka 18 nimempa BMW X5 anaendesha kwenda nayo shule na gym, azoee haya magari tangu mtoto asilimbuke nayo ukubwani. Kama mimi nilivyoanza kuyaona utotoni.
Nimenunua kwa pesa yangu sijafanya kazi serikalini hata siku moja, sijakula rushwa hata senti moja. Ni pesa yangu kwa kazi yangu halali, hata ukiangalia kipato changu unaweza kuona namudu kuwa na hizo gari bila utata.
Wabongo wengi kama wewe hamuwezi kujadili kitu kidhahania. Hamuwezi kujadili hoja kwamba serikali ya nchi masikini jaitakiwi kuwa na mawaziri wanaoendesha magari ya anasa wakati watu wanakufa kwa kukosa dawa mahospitalini. Watu wanakufa for some basic shit.
Mtu akijadili hoja, lazima mnaweka personal things nje ya hoja.
Kwa sababu ndiyo uwezo wenu unapoishia.
Huna hoja!Unatetea ujinga kuonyesha kuwa wewe ni mjinga wa daraja la juu. Mtumishi wa umma unapata wapi mamlaka ya kubadilisha matumizi ya chombo cha umma.? Hiya gari yake aipaki kwake na siyo kuibandika namba za serikali. Endelea kuutukuza upumbavu ipo siku utajikuta utumwani!
Usitumie mihemko mkuuMbali na hayo, nyinyi kikundi cha Abduli ndiyo mashetani wakubwa pamoja na huyo Bi kizee wenu, mnapaswa kunyongwa
Magufuli hawezi kulinganishwa uovu wake na ushetani wenu
Huyo jamaa anaitwa khalifa said na wasiwasi watakuja kumteka Hua ana channel yake YouTube anazungumzia vitu vya msingi sana wasiwasi wangu watamfungia very soon tcraKuna hiyo tweet jamaa kasema
crime pays😭
imeniuma sana.
Inaruhusiwa kuweka namba ya uwaziri kwenye gari binafsi!!?Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
Mpambanaji mkuu mrangi ni wapi huko upo!!??Huku nlipo mawazir unapishana nao Street
Hao hao ndy wafadhili wetu wa msaada
Anyway kuna usemi ule wanasema mswahili akipata mtk yk huliya mbwata
Nahisi ugeni pia wa mambo exposure
Ova
Unazungumzia wanajeshi zao la watoto maskini wala mihogo na ming'oko.! 🤭Sisi tumepiga kelele uongozi huu utoke madarakani kuna watu wanaushangilia ubaki na bado majeshi yetu yote yanaulinda sasa acha wajilie minyama tu.Hata wakinunua gari ya b 6 poa tu
KILA MBUZI ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKEGari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo.
Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.
View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645