CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Shoga kama wewe unayeingiliwa kinyume cha maumbile ndiyo wa kuuwawa maana ni chukizo kwa Mungu na wanadamu.Tena itapendeza sana akuuwe wewe maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Huyo nyamitako anazo chuma nyingi toka enzi za yule ibilisi wa chato alikuwa anawanyang'anya wahindi na waarabu kwa kuwatishia kuwapa kesi za madawa ya kulevya, huyu ni jambazi kabisa hapa Mwanza ana properties kibao worth billions.Dah hii dunia haipo fair kabisaa
huyu pimbi ana chuma ya nusu b wakati kitaa huku raia ni njaa kali?!
Unategemea nini kwa nchi inayoongozwa na mlevi ambaye anachoweza ni kubwatuka tu?Hivi wakati wa Nyerere, Mkapa,Magufuli etc angeweza kufanya hili, kweli nchi ilipofikia ni buffet all you can eat
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo.
Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.
View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645
Huyu pimbi mwisho wake ni mbaya sana lazima atapakwa mafutaHuyo nyamitako anazo chuma nyingi toka enzi za yule ibilisi wa chato alikuwa anawanyang'anya wahindi na waarabu kwa kuwatishia kuwapa kesi za madawa ya kulevya, huyu ni jambazi kabisa hapa Mwanza ana properties kibao worth billions.
Huyo mbona kitambo tu wazee walishamaliza ndiyo maana hana aibu, mwendazake mzee Six ndiye alianza kumvua ubingwa.Jamaa akitaka jambo lake liende yuko tayari kufanya au kufanywa chochote.Huyu pimbi mwisho wake ni mbaya sana lazima atapakwa mafuta
anatudhalilisha sana wasuku!
Kwa hiyo ili kuwapinga hao lazima tuwe na jeshi la matajiri ama sio kagame alikua tajiri sana mpaka akafanya mapinduzi.. au mapinduzi yanayofanyika west africa nako wanajeshi ni matajiriUnazungumzia wanajeshi zao la watoto maskini wala mihogo na ming'oko.! 🤭
Wadindishe ndonga kwa mishahara ya wokovu wa familia
Jitu blueband limejua ukubwani leo unamshauri awapinge wafadhili wa maisha unachekesha
Sasa wewe biashara ya kuuza roho ulionao wapi inawaniwa.!?Kwa hiyo ili kuwapinga hao lazima tuwe na jeshi la matajiri ama sio kagame alikua tajiri sana mpaka akafanya mapinduzi.. au mapinduzi yanayofanyika west africa nako wanajeshi ni matajiri
Sasa kwanini anaweka namba ya serikali? Na wese ananyonya kama gari ya serikali.Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
Ushakimbia nchi! Wasalimie.Niko denga mkuu (denmark)
Ova
Hata mimi nina mashamba ya mpunga, sina hata baiskeli.Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
Kuna Bentley ngapi Tanzanoia?Kwa muonekano wa taa za mviringo zilizo na LED ndani, grill kubwa ya chrome na muundo wa bumper ya chini, hii inaonekana kuwa:
Bentley Flying Spur
Makadirio ya mwaka:
Kati ya 2019 – 2023
Hii ni kizazi cha tatu (third generation) kilichoanza kutolewa mwaka 2019, na ndicho kina muonekano huu wa kisasa zaidi na taa zenye muundo wa crystal effect.
Bei yake:
Mpya kabisa: karibu USD 220,000 – 300,000
Tanzania inaweza kufika TSh 650M – 900M kutegemea ushuru na specs (V8 au W12).
Ukitaka nijaribu kukadiria kama ni V8 au W12 kwa muonekano wa badge au exhaust
Gari lililo mbele kwenye picha ni Bentley Flying Spur
Sifa zake kwa ufupi:
Ni sedan ya kifahari (luxury saloon)
Injini kubwa (V8 au W12 kulingana na toleo)
Muonekano wa kifahari sana na grill kubwa ya chrome
Ndani huwa na ngozi na mbao za hali ya juu
USSR
Huna akili wewe mburukenge. Hoja ni plate namba au gharama ya gari?Naona ni wanachama wa chadema na wanaharakati uchwara kuweka namba kuna nini zaidi namba hutolewa dk zero au nyie ndio washamba
USSR
Chukua chako mapemaKwapua kwapua nijilimbikizie hiyooo inaitwa
Ova
UNATAKA BENTLEY YA MWAKA GANI MKUUHata mimi nina mashamba ya mpunga, sina hata baiskeli.
Duh mzee six yule wa tabora?Huyo mbona kitambo tu wazee walishamaliza ndiyo maana hana aibu, mwendazake mzee Six ndiye alianza kumvua ubingwa.Jamaa akitaka jambo lake liende yuko tayari kufanya au kufanywa chochote.