Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Fuel guzzler, Brevis watu hawanunui tena siku hizi, out of time..!! Ni gari zimepitwa na wakati, mie sie mpenzi wa gari za chini, but walau ungesema Crown..!!
Brevis vs Crown; unamkataa nyani ila unamtaka kima.