Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Hatuhitaji employment history yako. Kwamba TCC ndio nini yani?

Umeshajionyesha kuwa wewe sio dereva wa masafa, kaa kwa kutulia.

80kmph maximum speed? Highyway?
Huna unachojua,ni utoto na kujimwambafya kwamba wewe ni Bora kuliko wengine.Huna ubora wowote, wazazi wako ndio wanakuona Bora.Hata Mimi hivyohivyo
 
These are facts not beliefs.

Not everyone is capable of long distance driving. And the quickest way to identify said people is by their take on correct highway cruising speed.

Mmetumia lugha kali sana kwenye huu uzi, mixer kutishia watu vifo plus kuwaita washamba e.t.c

Learn to eat from the same pot you serve.
Hakuna anayekutisha kwani yakikukuta ,ni Wewe na familia Yako Ishi upendavyo na ujinga wako!
 
Hatuhitaji employment history yako. Kwamba TCC ndio nini yani?

Umeshajionyesha kuwa wewe sio dereva wa masafa, kaa kwa kutulia.

80kmph maximum speed? Highyway?
Mwalimu wako alipatia shida kukufundisha,nimemwambia hiyo speed ya80km/hr,ipo kwenye kampuni tajwa na mpaka Sasa ni hivyo,Wewe ungekuja na employment history!Vipi mkuu mbona simple anda clear,povu la Nini ni mjadala wa kawaida tuu,we kimbia mbio , ukipiga mzinga,ufe,upone utajua wewe na familia Yako .
 
Nenda tuu hiyo 140_150km/hr, Yakikukuta usiseme umerogwa!
Mbona umekomalia sana hilo neno, ukiona mtu anatembea spidi hiyo ujue kuwa anajua anachokifanya. Kwanza barabara uwe umeizoea, pili chombo kiwe vyema, tatu uwe mtu wa road mara kwa mara. Huwezi tembea spidi 50-80 Dar to MWZ
 
We jamaa utakuwa umetumwa sio bure yani serious unataka kutubebesha gunia la misumari lituchane mgongo?
 
Mbona umekomalia sana hilo neno, ukiona mtu anatembea spidi hiyo ujue kuwa anajua anachokifanya. Kwanza barabara uwe umeizoea, pili chombo kiwe vyema, tatu uwe mtu wa road mara kwa mara. Huwezi tembea spidi 50-80 Dar to MWZ
Nenda mkuu utakavyo,yakikukuta ndio utajua, Bahati Nzuri sitakuwepo!
 
Usipangie watu. Usitoe ushauri kama hujaombwa
Humu ni jukwaa huru, hata wewe huwezi kunipangia Nini Cha kufanya,unaonyesha jinsi ilivyo Mpumbavu,unaongeza yaleyale unayotenda, Hekima hupewacbaadhi kwa kweli,Baba nae anasema Nina mtoto!
 
Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50.

Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri na brevis inakimbia sana na inachanganya haraka.
kwahiyo prado inakuchelewesha kumwahi israeli mtoa roho
 
Back
Top Bottom