Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
CC 3000 utakua unamiliki kisima cha wese uwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia primio x , primio f zipo vizuri kwa gari za Chini.Siku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..
Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..
Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
Kua na lugha za stara brother otherwise usi tweze utu wa watu unaanzaje.Wewe ni mpumbavu. Na sio dereva. Majigambo mengi ila nikikupa chuma twende Mwanza utajinyea.
If you can't drive, shut the fak up
Mkuu upo Sahihi kabisaa..Siku Ukipata Ajali uje Pia Utuambie..
BTW Brevis ni gari Iliyopitwa na wakati na Wengi wanaziuza sana siku hizi..
Nowdays Kupata Brevis Namba DZ au DX au DY Kwa Shilingi Milioni 4 au Tano ni Kitu cha kawaida sana..
Ukitaka Sports Car Jaribu Crown
Unajibiwa ulivyokuja. Usilete ujuaji kwenye tasnia za watuKua na lugha za stara brother otherwise usi tweze utu wa watu unaanzaje.
Kutolea lugha chafu watu ambao wanakupa experience zao
Be smart brothe
Umeendesha wapi?Udereva wa kujihami ndio udereva makini Duniani kote!Mbio barabarani sio udereva Bali ni kuwa na Afya ya Akili ndogo,na ni Hatari kwa anayeendesha mbio na kwa watumiaji Wengine wa barabara hasa watoto na akina mama wajawazito wanavuka barabarani.Namshukuru Mungu,nimeendasha magari kwa Sasa ni Miaka 20,Sijawahi pata ajali yoyote.Labds nyenyele na mchwa ndio nimewagonga,.Mtu kujisifia kukimbiza gari barabarani ni ugonjwa wa Akili sio bure.Sawa Kifo ni Kifo!
Mkuu,Hata akili huna tafuta mjinga mwenzio mbishane nyie ndo wale mtu akifanikiwa mnasema freemason saizi tunaongelea brevis wewe unaongelea ajali mchawi kabisa wewe usirudi tena hapa watu kama nyie mnafaa kutukanwa tu haufai kuheshimiwa
Kaa na gari yako brand new huwezi kusafiri kilomita 1300 kwa kuendesha maximum ya 80kmph.Watu wamepoteza viungo, wengine wamekufa na kuacha watoto wanateseka,Kisa mbio barabarani.Kuna kampuni Moja hapa nchini, nikiwa salesman hapo speed kubwa mwisho 80,na walifunga car track system na kila anayeendesha gari, alikuwa na funguo yake ya gari kumsoma Yeye anayeendesha.Gari zenyewe ni brand new kutoka kiwandani!Zingine zinasoma hadi kms240,ole wako mara 3ikusome umeover speed!Maelezo yake uwe nayo ya kutosha.Kwa mfumo huo ajali hazikuwepo kabisa kwenye kampuni hiyo hadi nimeondoka 2013,Narudia mbio kama Ngiri sio udereva Bali ni kukuita Kifo Cha mapema na Uzembe.Mwenye masikio na Asikie maneno haya.Tahadhali Muhimu.
Alafu nikwambie kitu mkuu...? Huyu jamaa ni mshamba wa magari period.Fuel guzzler, Brevis watu hawanunui tena siku hizi, out of time..!! Ni gari zimepitwa na wakati, mie sie mpenzi wa gari za chini, but walau ungesema Crown..!!
Wewe ndio umeongea.Mwaka 2019jamaa yangu ambae tulikuwa ofisi Moja alikuwa na chuma kama yako (Brevis)alikuwa akiisifia kama unavyofanya hapa..na kweli chuma ilikuwa inatoka na comfortability kama yote...ila sikuacha Kumwambia kuhusu mwendo Kasi wake...
Tarehe 21 /4/2019 tukiwa wote tunatoka Iringa(kazini) yeye akienda Dsm kusalimia familia na Mimi nikienda Arusha kumsalimia familia...kabla ya safar nilimwambia asiendeshe spid kwani tunaenda nyumban Tena kusalimia familia zetu...akanitangulia..Mimi nikiwa na gari yenye speed kubwa kuliko yake (VW golf)lakini sikuzid speed 100.
Tulianza safar jion baada ya kazi...Ile imefika saa mbili usiku..nikasema nimpigie nijui amefika wapi maana alitangulia...sim ikawa inaita tu...Ile nimefika mikumi Nikakutana na ajali..Kwa vile ilikuwa usiku nikasikamama Kwa mbele...halafu sijui nilipitiwa na nini...mda ule nikawa sikumfikiria jamaa(peter)..Ile nimeshuka nakuta mwili umefunikwa majani...nikawauliza jamaa walikuwa eneo la tukio wakaniambia huyu jamaa ameingia nyuma ya Lori...nikiwa pale Nikaona plate number ya gari ikiwa chini..nikaichukua nikaitambua..pale pale akili ikafunguka na kusema ni peter....nikarud kufunia majani yaliyofunika mwili..kweli alikuwa peter..wale jamaa waliponiona nalia ndo wakaniuliza unamfaham!!?..ndo nikasema ni mtumishi mwenzangu Tena ofisi Moja ....the rest was history ..
Kwenye haya magari nimejifunza yafuatayo:
1.gari haikujui kama wewe ndio mmiliki wake....kwamba ipo siku itakuokoa
2.kuendesha speed kubwa Haina maana sana
3. Ndio ...ajali ni ajali lakini tafiki zinaonyesha ajali nyingi ni uzembe WA dereva na pili ubovu wa chombo chenyewe
4.ukishajua thamani yako, na ya wale walio chini yako(familia) ..hauna sababu ya kujisifu Kwa kuendesha gar speed..
5.endesha gari Kwa speed kias kulingana na sheria huku ukichukua tahadhari maana kumbuka si tu kwamba utakuwa ukiendesha gari lako Bali magari matatu(lako,la mbele na la nyuma)
Otherwise brevis ni gari nzuri ..hongera sana Boss.
Kweli natoka Mbeya kwenda Mwanza nitembee 80Km/hr. Hapo si nitakesha barabarani?. Kama gari ni nzima kuna maeneo unatembea 140-150Km/hr kama ni mwenyeji wa njia, na haina shida.Ok sawa Kijana nimekueleea ila Naendelea Kukukumbusha na kukushauri Kuwa Speed si zaidi ya 80 Kwenye Maeneo yasiyo na watu Na speed 50 kwa maeneo mengi na Speed 30-50 Kwa maeneo ya Watu..
Usitembelee Speed 150 Kwenye Gari ukajiona Mjanja..
Ni Ulimbukeni na Nilimbukeni peke Yake Atayekwenda Speed 150 Na akajisifu..
Vijana Okoeni maisha Yenu na Kuambizana Ukweli bila kupepesa macho Speed Kubwa Inaua na Inasababisha Ajali..
Haijalishi utanitukana Ama utaniona Mchawi ila kwa speed Hiyo naomba Nikuambie Kuwa Tumechoka Kuona ajali barabarani ambazo zinasababishwa na Uzembe wa Dereva,..
Kuhusu Magari nimeanza kuendesha Magari huenda hata Miaka hiyo hujazaliwa Nimeanza kuendesha One 10 na Chaser Enzi hizo miaka ya 1990 Nikiwa Chuoni mwaka wa nne sijui Ulikuwa na Miaka Mingapi?
Tumechoka Kupokea Kesi za Ajali barabarani Mahospitali zinazosababishwa na Uzembe wa Mtu kwa makusudi kwa kuendesha spidi zaidi ya Inayotakiwa na kushindwa kucontrol gari..
Mimi kama Mzazi wako Nakuonya Kwa hiyo speed Unayoendesha ukichukia Chukia na ukitukana Tukana
Brevis labda uongelee mafuta, ila ni gari moja stable sana barabarani, kwa safari ndefu kama huna njaa ya mafuta hiyo gari utaikubali sana. Nimewahi kuitoa Dar to Mbeya hakika iko vizuri sana, kama ni mwenyeji wa barabara hiyo 150km/hr ni speed unatembea nayo vizuri tu kwa baadhi ya maeneoMkuu,
Kuna muda inabidi ujue kua ukitokea dar unaenda mwanza ni route ndefu .
Ukisafir usiku let say utoke dar saa 12 jion mpaka ufike dodoma utakua umepishana na miroli kibao so na hako ka brevis kake itakua issue Sanaa
Humu ndani Kuna nyuzi nyingi sanaa zimelalamika kuhusu brevis
Wengine huuita jini mla mafutaa Mara nyingi watu wameiponda Sana brevis
Hii safari inakuwa umeilazimisha,mambo ya Nini,hawakukosea walisema :Kawia ufike!Kaa na gari yako brand new huwezi kusafiri kilomita 1300 kwa kuendesha maximum ya 80kmph.
Panda ndege kama huwezi kuendesha chuma road au kama gari ya kampuni yako haikuruhusu.
Long distance driving is not for everyone, and anyone who says they can max at 80kmph is not a long distance driver in this country
Usiseme majitu,heshimu binadamu wenzako,nao wanazungumzia uzoefu wao,usiunderate watu kwa kuwa wewe umesimamia hiki unachokuamini!.Wewe ndio umeongea.
Speed is subjective
Kuna majitu yameropoka humu eti maximun 80kmph, that is bullshit.
Endesha mwendo salama kwa mazingira husika, ila mtu yoyote anayesema hakuna sehemu ya kuendesha zaidi ya 80kmph Tanzania nzima, moja kwa moja ni very inexperienced driver.
Learn to drive defensively. Know your limits. Know the limits of your vehicle. Allow space for mistakes by other drivers. Be attentive and focused. Do not drive faster than you can see ahead.
Hata 160 ni spidi safe sana kwa baadhi ya barabara nchi hii ukifuata maangalizo hayo
Acha dharau za kike we mtoto,usidhani kila mtu ni wa kumdharau,nimeendasha Tanzania cigarettes co ltd,kaulize ulete hizo dharau zako humu Unadhani naongea kufurahisha mtu Naongea nilicho experience nacho.Umeendesha wapi?
Isijekuwa umesogeza gari Tegeta Posta unasema umeendesha gari, ilhali miaka yote 20 ukitaka kwenda mkoani unapaki gari unapanda ndege au basi unakuwa at the mercy of a driver you do not know who drives at a speed you cannot control
Wewe dogo kuwa na nidhamu...humu siyo FacebookHata akili huna tafuta mjinga mwenzio mbishane nyie ndo wale mtu akifanikiwa mnasema freemason saizi tunaongelea brevis wewe unaongelea ajali mchawi kabisa wewe usirudi tena hapa watu kama nyie mnafaa kutukanwa tu haufai kuheshimiwa
Nenda tuu hiyo 140_150km/hr, Yakikukuta usiseme umerogwa!Kweli natoka Mbeya kwenda Mwanza nitembee 80Km/hr. Hapo si nitakesha barabarani?. Kama gari ni nzima kuna maeneo unatembea 140-150Km/hr kama ni mwenyeji wa njia, na haina shida.
Huwezi acha, ila kamwe usiseme haiwezekanjHii safari inakuwa umeilazimisha,mambo ya Nini,hawakukosea walisema :Kawia ufike!
Usiseme majitu,heshimu binadamu wenzako,nao wanazungumzia uzoefu wao,usiunderate watu kwa kuwa wewe umesimamia hiki unachokuamini!.
Acha dharau za kike we mtoto,usidhani kila mtu ni wa kumdharau,nimeendasha Tanzania cigarettes co ltd,kaulize ulete hizo dharau zako humu Unadhani naongea kufurahisha mtu Naongea nilicho experience nacho.