Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kwa wajinga kama wewe lazimaulogwe ufe peke Yako barabarani,sio uuwe wenzio Kisa hawana brevis! Ushamba ni ugonjwa!Mna chuki lazima muwe wachawi mkizeeka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wajinga kama wewe lazimaulogwe ufe peke Yako barabarani,sio uuwe wenzio Kisa hawana brevis! Ushamba ni ugonjwa!Mna chuki lazima muwe wachawi mkizeeka tu
açha spid kijanaMimi sikuongelea mbio watu ndiyo wanakurupuka walio wajinga humu sijui wametoka fb nimesema nimetoka nayo dar mpaka mwanza na hii gari nilinunua mpya kabisa kwahiyo nimetumia muda mrefu lazima niwe nimewahi kukimbiza speed zote maana wakati mwingine unakuwa na haraka ila majinga mengi mengi humu yanapenda kudakia tu na kurefusha mambo
Utakufa tu hata kama uko ndaniKwa wajinga kama wewe lazimaulogwe ufe peke Yako barabarani,sio uuwe wenzio Kisa hawana brevis! Ushamba ni ugonjwa!
HahahaUkute mwalimu kanunua gari
Leo utahara,si kwa kukosolewavhuku!Tafuta mjinga mwenzio mbishane libaba jinga kubwa
Utahara na kufa hata kama haupo kwenye gari utakufa tuLeo utahara,si kwa kukosolewavhuku!
Kwahiyo umesusa uzi wako?Nimeleta uzi kwa wanaomiliki brevis tu ila watu wanaochangia mada ni kukosoa tu ndiyo kazi yao sasa naishia hapa maana siwezi kubishana na wajinga maana wajinga ni wengi wenye akili ni wachache, brevis ni gari nzuri sana kwa safari ndefu kama una uwezo wa kuweka mafuta na ni gari imetulia kabisa barabarani hata ukiwa speed kubwa wanaokosoa hawatutishi gari yangu natembea mkoa wowote ninaotaka naenda naishia hapa sitishwi na mtu sijui mara oo bora crown mara sijui nini hapa tunaongelea brevis tu ni gari nzuri sana kwa masafa marefu na unafika mapema
Bora umiliki mishangazi 7 utapata raha zaidi kuliko kwenye BrevisWewe unadhani wenye brevis tuna gari moja tu na huo mshangazi unao
We mshamba gari zote zinatulia barabarani,ukiweka upepo wa matairi vizuri, service Safi nk!Sio hiyo mispidi Yako,kufa peke Yako!Nimeleta uzi kwa wanaomiliki brevis tu ila watu wanaochangia mada ni kukosoa tu ndiyo kazi yao sasa naishia hapa maana siwezi kubishana na wajinga maana wajinga ni wengi wenye akili ni wachache, brevis ni gari nzuri sana kwa safari ndefu kama una uwezo wa kuweka mafuta na ni gari imetulia kabisa barabarani hata ukiwa speed kubwa wanaokosoa hawatutishi gari yangu natembea mkoa wowote ninaotaka naenda naishia hapa sitishwi na mtu sijui mara oo bora crown mara sijui nini hapa tunaongelea brevis tu ni gari nzuri sana kwa masafa marefu na unafika mapema
Kajiunga Leo 😁
Sio kwa spidi, Bado kijana sana , ushamba haujakutoka hapa JF ushamba utakutoka tuu,weka bando kila mara tukupe maarifa,nenda pia hapa JF kuna forum ya magari utaona vyuma na mmbrevis wako!Utakufa tu hata kama uko ndani
Kufa utakufa tu hata kama upo ndani na uchawi wakoWe mshamba gari zote zinatulia barabarani,ukiweka upepo wa matairi vizuri, service Safi nk!Sio hiyo mispidi Yako,kufa peke Yako!
Kufa nitakufa ndio sio kwa sifa za kishamba za kukimbiza gari,Acha ushamba nitakuroga ukiendelea na spidi!Kufa utakufa tu hata kama upo ndani na uchawi wako
Usimroge chondechondeKufa nitakufa ndio sio kwa sifa za kishamba za kukimbiza gari,Acha ushamba nitakuroga ukiendelea na spidi!
Atajiroga mwenyewe na spidi zake na brevis!Usimroge chondechonde
Gari za walevi hizi, hata sishangai.Atajiroga mwenyewe na spidi zake na brevis!