Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50.

Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri na brevis inakimbia sana na inachanganya haraka.
Sawa, ila kwa barabara zetu za tz andika urithi mapema kwa hayo ma-speed.
 
Kwani wewe unajua kesho utakuwepo kufa utakufa tu hata kama sio kwa speed
Wewe ni kiazi , hakuna wa kusifia ujinga wa member mpya!,Andaa magongo ukinusurika!Pia na mganga wa jadi wa kukupigia ramli,mchawi wa Kwanza Mimi.
 
Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50.

Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri na brevis inakimbia sana na inachanganya haraka.
Hahaha nina Subaru XT usijaribu kunifata mkuu
 
Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50.

Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri na brevis inakimbia sana na inachanganya haraka.
Kuna sredi jf muwe mnazifuta tu. Hii habar nayo inahitaji id feki?
 
Back
Top Bottom