Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Hapo ulipo hujala ungekuwa na maisha mazuri usingekuwa na hasira na uzi huu sasa umefuata nini si uende huko kwa wanaopanda ndefe
Hatupandi ndefe,tunapanda ndege,hizo ndio hasira Sasa!Tunapokusoa Wazee shukuru,sio kuwa mjinga kila Siku.
 
Baba lako ndiyo limekufundisha kuleta chuki humu jf
We endelea kujifunzia mbio za magari ni uchizi, hakuna aliekuunga mkono, mtumba huo utakuua,! Tafuta hela umuchia Mzee wako sio umuachie tuta la kaburi kwa ujinga wa mbio!
 
We endelea kujifunzia mbio za magari ni uchizi, hakuna aliekuunga mkono, mtumba huo utakuua,! Tafuta hela umuchia Mzee wako sio umuachie tuta la kaburi kwa ujinga wa mbio!
Hapa nimeamini wewe ni maskini kweli huna kitu mchawi mkubwa kufa utakufa tu hata kama huendeshi
 
Tukana utukanwe huu ni uzi kwa wanaomiliki brevis tu hatutishwi
 
Sio kusoa kukosoa libaba jinga kubwa hata aibu huna itakuwa ni mchawi wewe huko kwenu hata gari huna
Uchawi nao ni sifa, Sasa endelea na mbio nikuroge,nimekuonya mapema,mbio acha, utakuja humu JF kukili nilikuona hukusikia,
 
Cha kushangaza waliodandia uzi hawamiliki brevis sijui wamefuata nini yaani wajinga ni wengi sana
Wewe brevis lako usitulee ujinga,sio gari la kujisifia humu!Hata huko south Africa wanatengeza gari za kijapan under licence,Cha ajabu hakuna brevis,tatizo hazina Soko,wanazotz washamba,(wboss)kubwa lao.
 
Uzi huu ni wenye brevis tu mtakaozikosoa hamtutishi brevis ni gari nzuri sana kama una uwezo wa kuweka mafuta kwa safari utalipenda
 
S
Kwenda huko huwezi kumpangia mtu maisha
Sijakupangia hizo mbio ndio,nakuonya kwamba sio sifa ni ushamba!Ulitaka nikusifie kwamba uko sahihi,hapana sio wivu sio uchawi,acha ushamba barabarani.
 
Wewe brevis lako usitulee ujinga,sio gari la kujisifia humu!Hata huko south Africa wanatengeza gari za kijapan under licence,Cha ajabu hakuna brevis,tatizo hazina Soko,wanazotz washamba,(wboss)kubwa lao.
Soko la nini tafuta mjinga mwenzio mbishane
 
Uzi huu ni wenye brevis tu mtakaozikosoa hamtutishi brevis ni gari nzuri sana kama una uwezo wa kuweka mafuta kwa safari utalipenda
JF sio Mali Yako,za uso utakumbana nazo, brevis ni ki
Unapanic jf? Utapasuka kwa kupanic na gari yako iliyopitwa na wakati hiyo
Dogo, akidhani tutasifu mbio zake na brevis lake!
 
Back
Top Bottom