Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

Mimi sikuongelea mbio watu ndiyo wanakurupuka walio wajinga humu sijui wametoka fb nimesema nimetoka nayo dar mpaka mwanza na hii gari nilinunua mpya kabisa kwahiyo nimetumia muda mrefu lazima niwe nimewahi kukimbiza speed zote maana wakati mwingine unakuwa na haraka ila majinga mengi mengi humu yanapenda kudakia tu na kurefusha mambo
açha spid kijana
 
Nimeleta uzi kwa wanaomiliki brevis tu ila watu wanaochangia mada ni kukosoa tu ndiyo kazi yao sasa naishia hapa maana siwezi kubishana na wajinga maana wajinga ni wengi wenye akili ni wachache, brevis ni gari nzuri sana kwa safari ndefu kama una uwezo wa kuweka mafuta na ni gari imetulia kabisa barabarani hata ukiwa speed kubwa wanaokosoa hawatutishi gari yangu natembea mkoa wowote ninaotaka naenda naishia hapa sitishwi na mtu sijui mara oo bora crown mara sijui nini hapa tunaongelea brevis tu ni gari nzuri sana kwa masafa marefu na unafika mapema
 
Kwahiyo umesusa uzi wako?
 
We mshamba gari zote zinatulia barabarani,ukiweka upepo wa matairi vizuri, service Safi nk!Sio hiyo mispidi Yako,kufa peke Yako!
 
Utakufa tu hata kama uko ndani
Sio kwa spidi, Bado kijana sana , ushamba haujakutoka hapa JF ushamba utakutoka tuu,weka bando kila mara tukupe maarifa,nenda pia hapa JF kuna forum ya magari utaona vyuma na mmbrevis wako!
 
Back
Top Bottom