Fuel guzzler, Brevis watu hawanunui tena siku hizi, out of time..!! Ni gari zimepitwa na wakati, mie sie mpenzi wa gari za chini, but walau ungesema Crown..!!
wenye magari mnatambishiana
Kama unajua hili ni jukwaa huru kilichokuleta kuanza kututishia vifo tusipotembea 80 ni nini?Humu ni jukwaa huru, hata wewe huwezi kunipangia Nini Cha kufanya,unaonyesha jinsi ilivyo Mpumbavu,unaongeza yaleyale unayotenda, Hekima hupewacbaadhi kwa kweli,Baba nae anasema Nina mtoto!
Bwege wewe,endeshavutakavyo,hujui hata vitisho, mtoto wa mama!Kama unajua hili ni jukwaa huru kilichokuleta kuanza kututishia vifo tusipotembea 80 ni nini?
Niko Mombo nachukua maini niendelee kupiga gia kuitafuta Dar, natembea speed salama sio huo upuuzi wa 80 unaomsababisha dereva fatigue, monotony na inattention na kupelekea ajali.
Katishie familia yako.
Tukana kwa kuwa ndilo unalolijua, haya ya barabarani kaa kushoto mkuuBwege wewe,endeshavutakavyo,hujui hata vitisho, mtoto wa mama!
Mambo ya kujiona Bora,ndio madhara haya,usiyemjua usithubutu kunyanyua mdomo wako,Ukikua utaacha ushamba!Tukana kwa kuwa ndilo unalolijua, haya ya barabarani kaa kushoto mkuu
Na Umaskini wa Akili ni mbaya kuliko kukosa Mali,kila mtu unamuona hana kitu ni Wewe,usamehewe bure kukosa balance ya Vyakula,ndo mitoto kama Wewe!Tukana kwa kuwa ndilo unalolijua, haya ya barabarani kaa kushoto mkuu
Wanaokusoma wanakuona mlugaluga, mambo ya barabarani,we kwako umeona Dili!Nitakupa tuu elimu bure, endelea kunichokoza .Tukana kwa kuwa ndilo unalolijua, haya ya barabarani kaa kushoto mkuu
Wewe Mzee Kimwakaleli umetokea wapi tena na hizi mambo mzala akishika mbovu mpotezee wala haupungukiwi na kitu humu tupige story tu za Wasizwa mnaharibiana siku kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu..Wanaokusoma wanakuona mlugaluga, mambo ya barabarani,we kwako umeona Dili!Nitakupa tuu elimu bure, endelea kunichokoza .
Binafsi naikubali sana Brevis. Moja kati ya sedan bora zaidi za mjapan. Very comfy, powerful and smooth engine..Hizo story za kupitwa na wakati ndiyo zimepitwa na wakati. Watu mbona wananunua cruiser , beetle, Landrover na zilikuwepo kabla ya Brevis
Brevis imetulia sana na ni classyBinafsi naikubali sana Brevis. Moja kati ya sedan bora zaidi za mjapan. Very comfy, powerful and smooth engine..
very classy.
I prefer brevis kuliko crown
Sana tu na ndio maana enzi zake ilisumbua sanaBrevis imetulia sana na ni classy