wahudumu wenye kauli tamu zisizokera
Kumbe nina muda sijasafiri...nauli ndo iko juu namna hiyo?!bm vvip nauli yake 87,000/= hutojutia.
Nakazia Labda.Labda BM
Ana unafuu ndo vile tena ufalme wa chongo kwenye nchi ya vipofuNakazia Labda.
Kwa nauli hii si uongeze tu upande ndege!bm vvip nauli yake 87,000/= hutojutia.
Esther Luxury Coach linalosafiri usiku kupitia Bagamoyo, Saa 12 asubuhi na mapema mnaingia Chugga, vyakula vya usiku achana navyo hamna uhakika maana vingi linakuwa vimebakia mchana, by the way ukishakula chakula cha Jioni Dar huko njiani unataka Kula nini tena? Labda Juice au SodaWakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.
Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
saa tatu usiku.Mda gani)linaanza safari usiku?
kila mmoja hufanya linalompendeza au lililo ndani ya uwezo wake.Kwa nauli hii si uongeze tu upande ndege!
Kwa sifa ulizotaka naona kama upeshapita stage ya kupanda basi hivyo unastahili upande ndege.
Kwa basi huwezi kupata vyote hivyo kwa kiwango cha juu; nakutahadharisha tu ili usije hapa baadae kuchafua mabasi ya watu.
ukisafiri kwa hili bus utafurahia safari, chakula hotelini bila malipo ya ziada na pia inabeba abiria 33 tu.Kumbe nina muda sijasafiri...nauli ndo iko juu namna hiyo?!