Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
Tumia ndege tua kia,chukua tax hadi Ar
 
Abood wahudumu wana lugha mbaya km wamevuta ugoro, hovyo kabisa
Ipo siku Mama mmoja mtu mzima hivi anamuuliza mhudumu kama nafasi ipo au basi limejaa yule dada alikaa kimya mpaka dereva aliekaa kwenye siti akaamua kushuka na kumuomba msamaha kuwa basi limejaa Mama nenda kakate BM lina nafasi daah nilishangaa sana aisee...
 
Yani customer care TZ tunatia aibu sana hasa hivyo vinavyoitwa vidada pisikali ni vipumbavu
 
Back
Top Bottom