Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
Wasiliana na Nayce.
 
Usije tu ukalogwa ukapanda lile bus lenye jina la mlima mrefu kuliko yote barani afrika..🙌
 
Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
ungesema mapema,
kwa kutumia usafiri binafsi lakini wa umma ningekusogeza hadi mahali fulani, jirani sana na unapoishia bila mbambamba yoyote 🐒

nadhan wangwana wanaendelea kutoa ushauri vizuri
 
Nyie mnaocheka niliposema nna height phobia chekeni sana. Wengine pass Ilishajaa kwa safari za kimataifa. So ndege sio big issue.

Nchi zilizoendelea usafiri wa anga umerahisishwa ili kila mtu aumudu kwa ajili ya kurahisisha movement za watu.
So u heard it
Tumekoma Mamaa!!,,,Hatucheki tenaa,,Mamaeehh!!Warmly Welcome To Arusha Cacu.
 
tz wana lugha tamu mbona jaribu kenya uone utajibiwa mbaya sana
Mhh hata wao wakihudumia wa Africa wanajisahau. Nishawah kugombezwa nahudumu wa KQ nili board kutoka schifol airport to Jomo Kenyatta airport kwa ishu ndogo sanaaaa ambayo haikupaswa ani mind na wala halikuwa kosa. Sema by then nilikuwa kadogo sana na sijajua haki za mteja
 
Back
Top Bottom