Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
Tanzania kuna luxury bus!!!

So, to know what to expect from a luxury bus here is a list of most of the amenities that most luxury buses have:
  • Leather seats.
  • TVs.
  • Complimentary beverages.
  • Complimentary snacks.
  • Coffee and tea.
  • Complimentary high-speed Wi-Fi.
  • Lots of legroom.
  • 140 degrees reclining seats.

View: https://www.youtube.com/watch?v=kiLqwtKWMeY&t=109s

View: https://www.youtube.com/shorts/Qhgcn9pxZ-8

View: https://www.youtube.com/watch?v=z-7A-oDTN2Q

View: https://www.youtube.com/watch?v=SI8Kztb6Kbo
 
Nyie mnaocheka niliposema nna height phobia chekeni sana. Wengine pass Ilishajaa kwa safari za kimataifa. So ndege sio big issue.

Nchi zilizoendelea usafiri wa anga umerahisishwa ili kila mtu aumudu kwa ajili ya kurahisisha movement za watu.
So u heard it
 
Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
Niliona shabiby wameanza kwenda Arusha wakitokea DSM.
 
Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
Panda sgr chaap mpaka Dodoma saa 4 kisha chukua boda chaap Arusha hiyooo, utahangaika sana kupata gari yenye chakula cha hoteli labda za Nairobi kwenda Mombasa.
 
Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.

Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)

Asanteni.
Panda Tilisho safaris
 
Office za Shekilango 0765486868 and 0679056777
Hii ya Kigamboni 0678056775
0677058788 Mbezi Nimekupa no nyingi maana kati ya hizo lazima mojawapo watapokea
 
Safari yangu ya kwanza kwenda Arusha, tokea dsm
Nilipanda hii gari saa nne ubungo,
1172540_412806418824318_1391164332_o.jpg
arusha mjini tuliingia saa nane usiku.
Body ya gari tamu iko bomba, Engine sasa! Dah!
 
Back
Top Bottom