Assntee sanaEsther Luxury Coach linalosafiri usiku kupitia Bagamoyo, Saa 12 asubuhi na mapema mnaingia Chugga, vyakula vya usiku achana navyo hamna uhakika maana vingi linakuwa vimebakia mchana, by the way ukishakula chakula cha Jioni Dar huko njiani unataka Kula nini tena? Labda Juice au Soda
Tanzania kuna luxury bus!!!Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
kuna ya 60k ni vip ya 87k ni vvip.Inachaj 60000 na inajaa haraka sana
Niliona shabiby wameanza kwenda Arusha wakitokea DSM.Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.
Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
Panda sgr chaap mpaka Dodoma saa 4 kisha chukua boda chaap Arusha hiyooo, utahangaika sana kupata gari yenye chakula cha hoteli labda za Nairobi kwenda Mombasa.Wakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.
Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
Shabbiby haina huduma ya chakula cha hoteli.Niliona shabiby wameanza kwenda Arusha wakitokea DSM.
Nasikia wanatoa hadi msosi hawa na mpangilio wa seat ni 2×1bm vvip nauli yake 87,000/= hutojutia.
Panda Tilisho safarisWakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.
Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
Upo kwenye gari unataka stor za wahudumu wa nini? Wewe ingia, chek siti yako kaa.😂😂Tanzania hii kwenye kauli ya wahudumu sehemu yoyote tunascore 0.000
Mwaka gani?Safari yangu ya kwanza kwenda Arusha, tokea dsm
Nilipanda hii gari saa nne ubungo,View attachment 3065544 arusha mjini tuliingia saa nane usiku.
Body ya gari tamu iko bomba, Engine sasa! Dah!