Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

Wasiliana na Nayce.
 
Usije tu ukalogwa ukapanda lile bus lenye jina la mlima mrefu kuliko yote barani afrika..πŸ™Œ
 
ungesema mapema,
kwa kutumia usafiri binafsi lakini wa umma ningekusogeza hadi mahali fulani, jirani sana na unapoishia bila mbambamba yoyote πŸ’

nadhan wangwana wanaendelea kutoa ushauri vizuri
 
Tumekoma Mamaa!!,,,Hatucheki tenaa,,Mamaeehh!!Warmly Welcome To Arusha Cacu.
 
tz wana lugha tamu mbona jaribu kenya uone utajibiwa mbaya sana
Mhh hata wao wakihudumia wa Africa wanajisahau. Nishawah kugombezwa nahudumu wa KQ nili board kutoka schifol airport to Jomo Kenyatta airport kwa ishu ndogo sanaaaa ambayo haikupaswa ani mind na wala halikuwa kosa. Sema by then nilikuwa kadogo sana na sijajua haki za mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…