Tumia ndege tua kia,chukua tax hadi ArWakuu heshima zenu,
Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam.
Gari luxury kweli
Gari linalofika kwa wakati
Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo)
Asanteni.
Hunitakii memaUsjal ntakuletea cha arusha
Bado ipo hiyo hiyo ila kwa hizo wanazopakiwa rangi ya ukili ndio wameweka 87,000 kwa 628km kisa wanapewa wali bure..Si niliacha 46k mwaka jana tu jamani..?
Abood wahudumu wana lugha mbaya km wamevuta ugoro, hovyo kabisaShabiby basi za safari ya Arusha Daslm nyingi ni mpya kama Abood ila Abood lugha ya wafanyakazi wake kama wapo Jeshini hawaangalii umri wala nini ..basi nzuri huduma zao mbovu.
Ipo siku Mama mmoja mtu mzima hivi anamuuliza mhudumu kama nafasi ipo au basi limejaa yule dada alikaa kimya mpaka dereva aliekaa kwenye siti akaamua kushuka na kumuomba msamaha kuwa basi limejaa Mama nenda kakate BM lina nafasi daah nilishangaa sana aisee...Abood wahudumu wana lugha mbaya km wamevuta ugoro, hovyo kabisa
Yani customer care TZ tunatia aibu sana hasa hivyo vinavyoitwa vidada pisikali ni vipumbavuIpo siku Mama mmoja mtu mzima hivi anamuuliza mhudumu kama nafasi ipo au basi limejaa yule dada alikaa kimya mpaka dereva aliekaa kwenye siti akaamua kushuka na kumuomba msamaha kuwa basi limejaa Mama nenda kakate BM lina nafasi daah nilishangaa sana aisee...
Yaani muda wote yeye anawaza kutongozwa tu na si kufanya kazi..Yani customer care TZ tunatia aibu sana hasa hivyo vinavyoitwa vidada pisikali ni vipumbavu
Tatizo hayo gear box zishajifia, milima kibao hazipandi. Nyingine reverse hazipigi, yaani full mihangaiko.Mimi na Extra....Extra Luxury Coach na Mimi....
Karibu mrembo cacutee