Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Gari ni usafiri, na mdau ameona ni vema awe na gari kurahisisha usafiri sasa tatizo nini bwana tajiri?Kuwaza kumiliki gari wakati hauna stable income hayo ndiyo mawazo ya kimasikini zaidi na yatakupeleka kwenye ufukara
Ni maoni tu, akiona yanafaa ayachukue,hayafai aachane nayo. Wewe ni mke wake?Hadi mtu anawaza kununua gari kashajipima na kujiona ana uwezo wa kulihimili sasa wewe ni nani hata umpangie mtu vitu vya kumiliki ?
Dadadeki,hapa umemaliza.Probox
Hakuna shida ni maoni tuGari ni usafiri, na mdau ameona ni vema awe na gari kurahisisha usafiri sasa tatizo nini bwana tajiri?
Kwani tatizo lako nini chief usimpagie mtu matumizi kwenye fedha zake humsaidii kutafutaNi maoni tu, akiona yanafaa ayachukue,hayafai aachane nayo. Wewe ni mke wake?
Maoni mengine yamekaa mkao wa kukatisha tamaa, kifupi yamekaa kimaskini sanaHakuna shida ni maoni tu
Kwa nn usitafute namna ya kuwekeza hiyo pesa hata 2 years then baada ya muda huo upate gari na kingine cha zaidi wakati uwekezaji unaendelea.Wakuu habari,
Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
[emoji3][emoji3][emoji3]Nilipiga chini. Route zangu za hapa mjini nimeamua kubaki na Passo yangu nyeusi vioo tinted.
Hio gari bila kuwa nayo hautaingiza $$ yako vizuri? Kama ni Yes.. basi nunua. Ila kama pesa au kazini unaenda tu bila hata kuwa na gari binafsi ANZA KUJENGA. Maisha mtu hauanzi kwa kununua gari kama makazi ya kudumu hauna. Unajenga kwanza, kisha gari litafuata.Wakuu habari,
Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Acha uongoHio gari bila kuwa nayo hautaingiza $$ yako vizuri? Kama ni Yes.. basi nunua. Ila kama pesa au kazini unaenda tu bila hata kuwa na gari binafsi ANZA KUJENGA. Maisha mtu hauanzi kwa kununua gari kama makazi ya kudumu hauna. Unajenga kwanza, kisha gari litafuata.
Warren Buffett aliwahi kusema: ukinunua vitu usivyo vihitaji, muda mfupi utaanza kuuza vitu unavyovihitaji.Maoni mengine yamekaa mkao wa kukatisha tamaa, kifupi yamekaa kimaskini sana
mzee si unaweza ukaweka mto hapo ukakalia na ukaenda safari ya mbali bila kuchoka nimeona niulize hilo japo sina gari siku nikinununuaSiti yake ya dereva imebonyea ndani sana kiasi kwamba ukikaa ni unaegemea sana ndani,yaani kiti kinakumeza kama unavyoona hiyo picha.Kwenye safari ndefu unakuwa unachoka sana kwa sababu muda wote unakuwa umemezwa ndani.
View attachment 1875785
Huwezi kuweka mto.Ukiweka mto utachoka zaidi.mzee si unaweza ukaweka mto hapo ukakalia na ukaenda safari ya mbali bila kuchoka nimeona niulize hilo japo sina gari siku nikinununua
Uongo gani? Ww najua hauna gari wala nyumba. Wala hela ya maana. Na hapo unawaza tu ukipata hela ya maana ununue gari. Najua mawazo yenu vijana wa leo. Ila umri ukienda ndio utagundua ni kosa. Usiseme hatukukuambia.Acha uongo
Wewe ni muongo!Uongo gani? Ww najua hauna gari wala nyumba. Wala hela ya maana. Na hapo unawaza tu ukipata hela ya maana ununue gari. Najua mawazo yenu vijana wa leo. Ila umri ukienda ndio utagundua ni kosa. Usiseme hatukukuambia.
Kujipa umuhimu kwenye maisha ya watuWabongo kwa kujifanya mnajua kushauri watu.