Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Kuwaza kumiliki gari wakati hauna stable income hayo ndiyo mawazo ya kimasikini zaidi na yatakupeleka kwenye ufukara
Gari ni usafiri, na mdau ameona ni vema awe na gari kurahisisha usafiri sasa tatizo nini bwana tajiri?
 
Hadi mtu anawaza kununua gari kashajipima na kujiona ana uwezo wa kulihimili sasa wewe ni nani hata umpangie mtu vitu vya kumiliki ?
Ni maoni tu, akiona yanafaa ayachukue,hayafai aachane nayo. Wewe ni mke wake?
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Kwa nn usitafute namna ya kuwekeza hiyo pesa hata 2 years then baada ya muda huo upate gari na kingine cha zaidi wakati uwekezaji unaendelea.
 
Suzuki kei hutojuta...halafu mi ninalo nimeliwekea nendo ya Prado...Mambo saaafi kabisa
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Hio gari bila kuwa nayo hautaingiza $$ yako vizuri? Kama ni Yes.. basi nunua. Ila kama pesa au kazini unaenda tu bila hata kuwa na gari binafsi ANZA KUJENGA. Maisha mtu hauanzi kwa kununua gari kama makazi ya kudumu hauna. Unajenga kwanza, kisha gari litafuata.
 
Acha uongo
 
Siti yake ya dereva imebonyea ndani sana kiasi kwamba ukikaa ni unaegemea sana ndani,yaani kiti kinakumeza kama unavyoona hiyo picha.Kwenye safari ndefu unakuwa unachoka sana kwa sababu muda wote unakuwa umemezwa ndani.
View attachment 1875785
mzee si unaweza ukaweka mto hapo ukakalia na ukaenda safari ya mbali bila kuchoka nimeona niulize hilo japo sina gari siku nikinununua
 
waambie kwa kuwanong'oneza hiyo ya kumi na tatu (13) ni hammer inakula vizuri mafuta lita 3 km 7 tu
 
Acha uongo
Uongo gani? Ww najua hauna gari wala nyumba. Wala hela ya maana. Na hapo unawaza tu ukipata hela ya maana ununue gari. Najua mawazo yenu vijana wa leo. Ila umri ukienda ndio utagundua ni kosa. Usiseme hatukukuambia.
 
Wewe ni muongo!
 
Back
Top Bottom