shakwenya
Senior Member
- Mar 5, 2017
- 177
- 303
Rudia kusoma ulichokiandika...ujitathimini ww n mtu wa aina ganTulia dogo.
Maliza kusoma kwanza afu utakuja kutuelewa wazazi wako tunamaanisha nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kusoma ulichokiandika...ujitathimini ww n mtu wa aina ganTulia dogo.
Maliza kusoma kwanza afu utakuja kutuelewa wazazi wako tunamaanisha nini
Punguza kiherehere. Pilipili iko shambani wewe inakuwashia nini?
pia Suzuki carry cha 4 wheel manual , unapokwenda job asubuhi kikitokea kichwa unalamba vivyo hivi unaporudi home. Siku za weekend unakula vichwa tu kijiweni maisha yanasonga. Jitese ujanani ili ukubwani uheshimike.Wakuu habari,
Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Kwa mshahara GN?! Hiyo laki 4?!Wakuu habari,
Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
laki 4 kwa mwezi ni hardly 4.8M kwa mwaka. Yani mwaka mzima bado hujapata uwezo wa kununua gari....
Dah, jamaa ana kipato cha 400,000 kwa mwezi chauhakika, ila amemeki amepata kama pesa inayotosheleza kununua gari, aseme ana kiasi gan mkononi, na kama ameweza kumek mpk kununua ina maana kulihudumia atawezaAu sijui wqnazungumzia gari gani.... Isije ikawa wanazungumzia midoli
Hawa watoto bhana...
Cadillac escaladeWakuu habari,
Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Eti Subaru Forester!Wakuu habari,
Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Ili ahangaike na bei ya spea juu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti Subaru Forester!
Subaru pasua kichwaIli ahangaike na bei ya spea juu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ila kwa zama za sasa tulizonazo gari inaenda kuwa kama basic need kwenye familia kwa sababu kuna dharula nyingi au matukio mengi ambayo ukiwa na usafiri utayafanya ukiwa comfortable.Sawa mjukuu wangu, ila ametaja kipato chake mimi nimekula chumvi nyingi hivyo nimeshauri kikubwa.
Hakikaila kwa zama za sasa tulizonazo gari inaenda kuwa kama basic need kwenye familia kwa sababu kuna dharula nyingi au matukio mengi ambayo ukiwa na usafiri utayafanya ukiwa comfortable.
mimi binafsi bado sina gari naunga unga mwana ila kipindi mvua ikinikuta kwenye mizunguko yangu huwaga natamani hata kulia.
gari pia ukiitunza vizuri inakuwa ni sehemu ya asset kwako