Mimi nikibadili oil zote mbili leo, nitatembea km 5000 nafanya injini oil peke yake.....ile inayofuata ndo nabadili na ya gearbox........kwa hiyo inakuwa injini oil baada ya km 5000, na gearbox oil baada ya km 10,000...........Me nilikuwa sijui nitajaribu kufanya hivo
Unatumia batan ipi kufanya nini ? Hiyo swichi niliyokuonyesha ipo kwenye gari? Kama ipo inaonyesha umechagua nini Kati ya 2WD, AUTO, LOCK?Me natumia batan kila nikizima inagoma
Mkuu kuna nyingine ambazo hazina hiyo swichi na zimeandiwa 4WD ina maana zenyewe zinavuta tairi nne muda wote?Sijui unamaanisha nini kusema "ukiwasha tairi 4 zinawaka". Ebu angalia hii swichi inatakiwa uiweke kwenye 2WD Ili hiyo taa isiwake.View attachment 1974861
Unapoteza hela kishenzi jamaa angu.Mimi nikibadili oil zote mbili leo, nitatembea km 5000 nafanya injini oil peke yake.....ile inayofuata ndo nabadili na ya gearbox........kwa hiyo inakuwa injini oil baada ya km 5000, na gearbox oil baada ya km 10,000...........
Ukibonyeza 2WD taa haizimi?
Kivipi, napoteza kuliko huyo jamaa...........hebu weka recommendations zako tuendelee kujifunza.Unapoteza hela kishenzi jamaa angu.
Jaribu kwenda kufunga gesi kama unaona bajeti ya mafuta imekuelemea...Halafu inakula mafuta kinoma
Kwa unaanza kutatua tatizo rahisi kabla ya tatizo gumu. Ebu tafuta fundi umeme aangalie hiyo swichi isiwe imeshoti na kuunga waya wa AUTO moja kwa moja. Maoni yangu...Yah haizimi
ndiyo naelewa, umesema inakula mafuta sana....Hivi ww umenielewa au unacoment tuuh
Nafikiri hizo ni zile zenye full time 4WD. Ndio, zinavuta tairi nne muda wote.Mkuu kuna nyingine ambazo hazina hiyo swichi na zimeandiwa 4WD ina maana zenyewe zinavuta tairi nne muda wote?
Lazima ile mafuta kwani inaonekana unaendesha kwenye 4WD ambapo tairi zote zinazungushwa na injini.Halafu inakula mafuta kinoma
Mkuu gari yangu imeandikwa 4WD, sasa nimeenda kucheki pale kwenye dash board, haina button ya 2WD lakini ina button ya auto. Nimejaribu kubonyeza hiyo button ya auto ikawaka na nikabonyeza button ya pembeni yake iliyoandikwa off ikazima. Sasa swali langu ni kwamba haiwezi kuwa hiyo button ya auto ikiwaka gari inakuwa kwenye 4WD na ikiwa haijawaka inakuwa kwenye 2WD?Lazima ile mafuta kwani inaonekana unaendesha kwenye 4WD ambapo tairi zote zinazungushwa na injini.