Gari hii taa 4WD ina maana GANI haitaki kuzima kabisa, sasa inafika mwezi mzima

Cjakuelewa
 
Hii kitu nmeiona sana kwenye gari za Nissan. ABS ikileta shida taa ya 4WD nayo huwaka Along side taa ya ABS.
 

Hahah Dashboard?

So akijiangalia kwenye kioo akaona ana sura mbaya anavunja kioo?
 
But kabla hujaenda kubadiri,angalia fuse ya brake system,ibadilishe hata Kama inafanya kazi,kingine angalia hapo pembeni ya mlango wako wakuingilia karibu na dashboard chini yake Kama Kuna switch imejiwasha

Fuse ya brake ndio ipi hiyo?

Inahusianaje na hili?

Na kwanini ibadilishwe hata kama inafanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…