Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Mkuu kuna watu wanaokota hela aiseeh..yaani kila akifanya service ya kubadili oil ya engine na gearbox anafanya dah..ila kama gari yake imeshagonga km zaidi ya 100k ni sawa ila siyo kwa kiwango cha huyu jamaa..Oil unabadili ya gearbox na ya engine kwa pamoja? Acha kuchezea hela mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu inakula mafuta kinoma
Watakua wanatumia hizi za Bei rahisi aisee.
Alafu watu mnaambiwa kila siku achaneni na ma xtrail hamuelewi..
Hii zigzaga anasemea gia manu ile unaingiza 1 .2.3 4 .5 kupeleka gia liva mbele na nyuma[emoji38]Yes auto ziko zigzag,straight etc so hakuna cha kuchekesha hapo.
Hydraulic ya gearbox huwa si ya kubadilisha mara kwa mara. Unaweza kukaa nayo muda mrefu tu bila shida....Mimi nikibadili oil zote mbili leo, nitatembea km 5000 nafanya injini oil peke yake.....ile inayofuata ndo nabadili na ya gearbox........kwa hiyo inakuwa injini oil baada ya km 5000, na gearbox oil baada ya km 10,000...........
Sasa hapo maana yake gari yako umeilock kwenye 4WD mode. Unatakiwa uitoe uweke kwenye 2WD....
Achana nae huyo. Tuendelee sisi na mjadala wetu...... Kwahiyo hii taaa imeanza waka kipindi gani?!Hivi ww umenielewa au unacoment tuuh
Hapana ina option ya 2WD si unaona picha hiyo....?! Hizo unazosema kwanza huwa si 4WD ni AWD kwa maana ya All wheel Drive.Nafikiri hizo ni zile zenye full time 4WD. Ndio, zinavuta tairi nne muda wote.
Nenda kwa jamaa hapo haya ndio mambo yake akusaidieNipe ushauri nifanyaje sasa
Ndo anavyosema jamaa, kwamba akimwaga injini oil basi na ya gear box pia anamwaga............Oil unabadili ya gearbox na ya engine kwa pamoja? Acha kuchezea hela mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! mwaka naona mrefu........kuna jamaa aliniambia kwenye service ya tatu unamwaga ya gear box ambayo ni kama km elf 9 hadi km elf 15, kumbe inawezekana kuendelea kuitumia muda mrefu zaidi.Hakika, mimi namwaga kila mwezi ila oil ya gear nafika mwaka.
Duh! nilikuwa sijui hii......ila injini oil huwa namwaga kwenye km elf 5, natumia ile yenyewe ya toyota.....jamaa wa gesi wanasema kama gari inatumia gesi unaweza usimwage oil hadi km elf 9.....Hydraulic ya gearbox huwa si ya kubadilisha mara kwa mara. Unaweza kukaa nayo muda mrefu tu bila shida....
Oil haina uhusiano na nishati gani inatumika kusukuma gari. Oil kazi yake ni kilainishi cha vyuma wakati engine inachapalapaDuh! nilikuwa sijui hii......ila injini oil huwa namwaga kwenye km elf 5, natumia ile yenyewe ya toyota.....jamaa wa gesi wanasema kama gari inatumia gesi unaweza usimwage oil hadi km elf 9.....