Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

Update:
Juhudi zinaedelea kufanyika na vikosi vya Zima moto angalau moto unapunguwa , usafiri kwa njia ya morogoro road upo down kwa muda ila hali ya moto imepunguwa kwa kiasi kikubwa , usafiri wa mwendokasi ndo kabisa no way out
 

Attachments

  • 16913145199281776645419900232082.jpg
    16913145199281776645419900232082.jpg
    554.7 KB · Views: 1
Yaan nimepita dk 20.mbele napigiwa simu na mtu anahema balaa ananiuliza niko wapi maana ndo kakutana nalo linaanguka nikamjibu mamzese basi akapoa ananipa hii update. Yaani naomba Mungu moto uishe kbs. Nawaza hizo hasara[emoji26] nimewaza magari na zile coadter zinazopark pale ukute madereva wake hawapo around
 
Back
Top Bottom