peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hii gari ingeanguka Tarime au Rorya mkoa wa Mara hakuna wanaume wa kukimbia moto hapo.
Wanaume wa Dar hakuna kitu
Wanaume wa Dar hakuna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nyumba apa zishaungua kama 13 ivi, boda boda 26 teyari ni vyuma chakavu. Magari 9 yote Amna kitu ..yani kwa ufupi ni moto fire 🔥🔥🔥Wakuu nimeambiwa kuna moto unaendelea kuwaka maeneo ya kimara ubungo kuna moto mkubwa na mlipuko mkubwa sana unaendelea na nimeambiwa nyumba zinaungua moja baada ya nyingine.....
Sina uhakika bado kuwa ni nyumba au vituo vya petrol
Really?🤔Zipo tank za kisasa hata gari ikipiga chini tank haliripuki.
Mifuniko yake Ina lock maalumu
Kwahio kuna watu leo watafika home wakute nyumba zimegeuka majivu?Ni nyumba apa zishaungua kama 13 ivi, boda boda 26 teyari ni vyuma chakavu. Magari 9 yote Amna kitu ..yani kwa ufupi ni moto fire 🔥🔥🔥
Wajinga ni wepi
Au kama wale wa moro waliyokimbilia
Kuiba mafuta wakafa
Ova
Moto ushazimwa hali ipo kawaida uzuri haikuwa petrol maana lazima kungesikika mlipuko mkubwa na madhara yangekuwa zaidiKwa hali ya moto ulivyo watu wengi watakufa na huo moto unasambaa kwenye Maeneo ya watu Mungu wetu sote aepusha hili janga ni hatari ni hatari ni hatari sana
We nae acha uwongo tuna makazi yetu huko usitake kutuuwa kwa presha😬Ni nyumba apa zishaungua kama 13 ivi, boda boda 26 teyari ni vyuma chakavu. Magari 9 yote Amna kitu ..yani kwa ufupi ni moto fire 🔥🔥🔥
Sio petrol ni dizel haina mbwembweKwa hali ya moto ulivyo watu wengi watakufa na huo moto unasambaa kwenye Maeneo ya watu Mungu wetu sote aepusha hili janga ni hatari ni hatari ni hatari sana
Acha uwongo nusu saa imepita TBC wapo eneo la tukio, moto ushazimwa hajafa hata panya.Kwa hali ya moto ulivyo watu wengi watakufa na huo moto unasambaa kwenye Maeneo ya watu Mungu wetu sote aepusha hili janga ni hatari ni hatari ni hatari sana
Hawajaenda kuzoa mafuta kama kule morogoro?Mliopo maeneo ya Ubungo na Kimara kibo, tupeni update ya hapo maana wengine wanakimbilia hatari.
===
Lori linalosafirisha Mafuta limepinduka na kusababisha Moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi cha Kibo jijini Dares Salaam.
Jeshi la Zimamoto limefika eneo la tukio lakini kutokana na ukubwa wa Moto unaowaka eneo hilo, kazi ya uzimaji imekuwa na changamoto.
Hadi sasa bado haijafahamika madhara kamili yaliyopatikana kutokana na Ajali hiyo ingawa taarifa za awali zinaeleza baadhi ya Nyumba za jirani na Pikipiki 2 zimeteketea kwa Moto huo.
View attachment 2709879
View attachment 2709890
View attachment 2709906
Acha kupotoshaNi nyumba apa zishaungua kama 13 ivi, boda boda 26 teyari ni vyuma chakavu. Magari 9 yote Amna kitu ..yani kwa ufupi ni moto fire 🔥🔥🔥
Sio sifa kufa kizembeTofauti ya wanaume wa dar na wamikoani ni kubwa jamani. Ona wanaume wa dar wanakimbia tukio wakati wa mikoani wangekimbilia