Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

Ahsante sana. Very brilliant explanation. Ahsante sana. Kuna mtu huko juu ametaja idadi kubwa sana ya bodaboda na nyumba kuungua. Inashangaza.
 
Ingekuwa kwenye foleni ingekuwa balaa kwa magari mengine.
 
Yaaan huwa natamanigi hiyo njia yao ikamilike. Sijui hata wamefikia wapi. Containers huwa hawazilock maana wamiliki wanahofia hasara wakilock. Zikichomoka tu chasis inabaki. Ila ikilockiwa inakua hasara kamili
Muongo mkubwa wewe, dereva hakipendi asilock container kwenye kichanja?
 
Yes ni lebanon hakika walioweza kutoa ushuhuda walikuwa km nyingi
Mama wa miripuko ni ule wa bandarini Lebanon.Huyu jamaa yetu mleta uzi angeondoka nao,
 
Imebidi nicheke [emoji23] Hata kama haichekeshi kaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…