Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Sio kweli, hilo sio gari la Museven, ni gari la wanajeshi wa Uganda na hapo walikuwa ktk operation ya kijeshi. Pia wala sio jipya, maana liliripotiwa zaidi ya miaka mitano iliyopita na vyombo vya habari.Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu
View attachment 1628345
Are u sure? Magu anaendelea kutawala na huu ni mwake wake wa sita after few days the Constitution will be excute
Are u sure? Magu anaendelea kutawala na huu ni mwake wake wa sita after few days the Constitution will be excute
Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Museveni anakuambia yeye kaingia kwa mabavuChaguo la mungu mamaye kimanaina
Is kagame still alive?Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Ni kwamba yeye mwenyewe yumo umo ndaniTunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345
Is kagame still alive?
Kagame alishamwingiza Mjini yule mshamba, sa hivi hawaivi kabisa. Kagame amemdhulumu mapesa kibao. Sa hivi kajipeleka kwa M7. Ulimwona Kagame wakati anaapishwa?Si mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Siamini kama ni gari la mseveni hilo,itakua scene ya kwenye senemaDereva anayeendesha hiyo gari hayuko comfortable kabisa, anaendesha kama anachungulia barabarani kwa jinsi kulivyo na mazagazaga mengi yasiyo na maana.
Yani hapo gari ya tan 2 imebeba mzigo wa tani 10. bila shaka speed ya hilo gari ni zero
Mbona Kama limebeba daraja Sina Imani Kama anatumia rais gari hiloTunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345