hilo gari uzushi.Siamini kama ni gari la mseveni hilo,itakua scene ya kwenye senema
Kama ni kweli,gari hilo halifai kwa usalama,speed ndogo italifanya kuwa sitting duck ya ATGM attack hasa kwa nchi zisizo na amani mfano iraq,libya,syria.
Ila linafaa kwa show off
Kagame alishamwingiza Mjini yule mshamba, sa hivi hawaivi kabisa. Kagame amemdhulumu mapesa kibao. Sa hivi kajipeleka kwa M7. Ulimwona Kagame wakati anaapishwa?
Siamini kama ni gari la mseveni hilo,itakua scene ya kwenye senema
Kama ni kweli,gari hilo halifai kwa usalama,speed ndogo italifanya kuwa sitting duck ya ATGM attack hasa kwa nchi zisizo na amani mfano iraq,libya,syria.
Ila linafaa kwa show off
Basi sio gari la mseven,bali gari la polisi,kitengo cha Special Weapons and Tactical Team(SWATT)Hilo gari lilitumika 2014 kujihami na terror attackView attachment 1628509
Basi sio gari la mseven,bali gari la polisi,kitengo cha Special Weapons and Tactical Team(SWATT)
Unanikumbusha msemo wa P.W Botha akiwa raisi wa Afrika kusini, alipata kusema kalunguyeye si nungunungu ingawa wanataka kufanana. Akaendelea kusema hakuna kitu utampa mtu mweusi akifanye na akakifanya sawasawa, yaani sisi ni karunguyeye na wao weupe ni nungunungu. Hakuwa tayari kuwaachia nchi yao hadi pressure ilipozidi.Inatufundisha kuwa Africa bado watu hawajawa binadamu sawa-sawa.
Hiyo pair ilikuwa lazima ife coz kila mtu anajiona ana akili kushinda ya mwenzieSi mlisema Magu role model wake ni kagame mara hii imekua museven
Nasikia kafaDon't no
Is kagame alive?Hiyo pair ilikuwa lazima ife coz kila mtu anajiona ana akili kushinda ya mwenzie
Another QuestionIs kagame alive?
yaani mtu ukiama bongo unajikosesha burudani kama izi yaan🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣ulinzi wa role model wake
Hii ni extra ordinaryTunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345
Tatizo viapo ndugu.Kinachonifundisha ni kwamba usishangae hao jamaa wanaoning'inia huko juu ya gari ukute wanaishi kwny kotaz za mabati na hapo walipo wana stress za madeni.