Hiyo pair ilikuwa lazima ife coz kila mtu anajiona ana akili kushinda ya mwenzie
Na bado hapo ana walinzi wengine wasioonekana kwa macho ya nyama,wala microscope; majini na uchawi wa kufa mtu.
Na hata jiwe anao hao walinzi, lakini kutwa kucha haishi kulitaja jina la Mwenyezi Mungu.
Yote hayo ni kwa ajili ya nini kama si kujilisha upepo tu?
Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345
Mbona haina nembo ya Rais ina namba za kiraia?Mkuu una proof zaidi ya hii tuamini ni Museven?
Ila siku zote hakunaga amani kwa watu waovu.
Kizungu ni shida mkuu wasamehe bureMkuu hujaelewa habari husika(kizungu hakipandi) ama? Hio ilikua kujihami na terror attack ma sio ulinzi wa museven
Are u sure? Magu anaendelea kutawala na huu ni mwake wake wa sita after few days the Constitution will be excute
Kiingereza hicho kinafikirisha sanaAre u sure? Magu anaendelea kutawala na huu ni mwake wake wa sita after few days the Constitution will be excute
Mungu alivyo mtenda haki, naye atakufa tu.Tunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345
Teh teh teh teh 🤣 🤣🤣 angalau lakini wana uhakika wa maisha.Kinachonifundisha ni kwamba usishangae hao jamaa wanaoning'inia huko juu ya gari ukute wanaishi kwny kotaz za mabati na hapo walipo wana stress za madeni.
HakikaMungu alivyo mtenda haki, naye atakufa tu.
Hah hah haaaa lulo modoyaani mtu ukiama bongo unajikosesha burudani kama izi yaan🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Muadikteta kote duniani huwa wanaogopa kupinduliwa na kuaawa kupita kiasi, ila siku si hawanaga ujanjaTunalalamika tu kwamba ulinzi wa Rais wetu ni babu kubwa, hebu tuangalie ulinzi wa role model wake, Kisha turudi kwenye kujadiliana, kukosoana na kikubwa zaidi kuelimishana, sitarajii matusi kwenye uzi wangu Mtakatifu.
View attachment 1628345
Wabaya sanaMuadikteta kote duniani huwa wanaogopa kupinduliwa na kuaawa kupita kiasi, ila siku si hawanaga ujanja
Wana uhakika wa maisha kwa kuwalinganisha na wakina nani mkuu?Teh teh teh teh 🤣 🤣🤣 angalau lakini wana uhakika wa maisha.