Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Itumie vema akili , usipelekeshwe na tumbo
Khaaaaa sijaelewa....ina maana hukuelewa maelezo yake au vipi jomba..Hata wewe Ukitaka kuwakodi naenda Jomba. ...Wapo kikazi zaidi
 
Unalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.

Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
Na magari ya serikali yanakodishwa?
 
Magufuli ni moja ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika dunia hii,Mungu atusaidie tu Ila kwa huyu jamaa watanzania tumepata hasara sana
 
Mbona hiyo kawaida kama una kazi yoyote nenda ukawatafute mbona watakufanyia kazi ! Hapo sion i tatizo hata nyumba ukiwahitaji wanakujengea
Na magari ya serikali yanakodishwa. This is not an ethical government, its something else.
 
Aibu ni kwako Jomba Naona huelewi dunia inavyokwenda ni mpinzani gani anayelalamika upinzani unakufa.hivi ingekuwa hivyo wapinzani leo wangepataje nafasi za ubunge na wengine hata kuendesha Halmashauri. Nani angewapa hizo nafasi..Jomba umevurugwa
 
Ni kutupa pesa bure kufanya jambo ambalo linajulikana matokeo yake yatakua vipi... Mtu unajiuliza hiyo bajeti ya shughuli nzima ni kiasi gani? Ni bora zingejengea zahanati au vyumba vya madarasa
 
Unalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.

Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
Huu utaratibu upo kwa mujibu wa kanuni gani? Mbona hawatangazi na sisi tutumie huduma zao?
 
Qqqqvm@@@nina walahi. Hasira km zote nikishuhudia mambo valu valu km haya.
 
Naona unatafuta ndoa
Yaani Mbowe kama angekuwa bado yuko magereza ingefaaa sana apigwe picha akiweka vizuri hivo vibendera. Sio mbaya mdude nyagali awakilishe, bwana jela sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…