Khaaaaa sijaelewa....ina maana hukuelewa maelezo yake au vipi jomba..Hata wewe Ukitaka kuwakodi naenda Jomba. ...Wapo kikazi zaidiItumie vema akili , usipelekeshwe na tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaa sijaelewa....ina maana hukuelewa maelezo yake au vipi jomba..Hata wewe Ukitaka kuwakodi naenda Jomba. ...Wapo kikazi zaidiItumie vema akili , usipelekeshwe na tumbo
Na magari ya serikali yanakodishwa?Unalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.
Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
Chama hakilipi kwani?Thubuutuuuuuu, nani awalipe wakati hizo ni shughuli za chama?
Magufuli ni moja ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika dunia hii,Mungu atusaidie tu Ila kwa huyu jamaa watanzania tumepata hasara sanaKuelekea mkutano wa ccm hapo kesho jijini Dodoma leo hii zimetumika mali za umma kupandisha bendera za chama hicho kama inavyo onekana hapo chini.
Kwa wajuzi wa mambo ya kisiasa tunaomba mtuelekeze kama ni sahihi chama cha kisiasa hasa kwenye mfumo wa vyama vingi kutumia rasilimali za umma kufanikisha shughuli binafsi kisiasa. View attachment 1499907
Na magari ya serikali yanakodishwa. This is not an ethical government, its something else.Mbona hiyo kawaida kama una kazi yoyote nenda ukawatafute mbona watakufanyia kazi ! Hapo sion i tatizo hata nyumba ukiwahitaji wanakujengea
Hapo unazani wamelipwa?Hata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
Apo umeandika nini sas?Na mheshimiwa Mchochezi atakapofungwa Segedansa 7 yrs to come naye atatumika kupandisha bendera za Chama tawala.
Ni suala la muda na pumzi tu.
Magufuli yupi?Hata Mbowe kama asingelipiwa faini na Dr Magufuli naye angekuwa kwenye hiyo karandinga akipandisha bendera za chama tawala!
Aibu ni kwako Jomba Naona huelewi dunia inavyokwenda ni mpinzani gani anayelalamika upinzani unakufa.hivi ingekuwa hivyo wapinzani leo wangepataje nafasi za ubunge na wengine hata kuendesha Halmashauri. Nani angewapa hizo nafasi..Jomba umevurugwakwa watu walio nyuma kwenye human civilization and democracy hawana uwezo wa kuseparate kati ya shughuli za chama na serikali kwao ni kitu kimoja!! shame on us!! kulazimisha mambo ya wazungu kumbe uelewa wetu ni ziro!!!unaweka sheria za vyama vingi halafu unaua wapinzani!! aibu sana!!
Tunaomba ushahidi wa malipo.
Daah imebidi nicheke tuhSasa ulitaka hao wafungwa waende kupaka rangi jengo la ufipa?
Ni kutupa pesa bure kufanya jambo ambalo linajulikana matokeo yake yatakua vipi... Mtu unajiuliza hiyo bajeti ya shughuli nzima ni kiasi gani? Ni bora zingejengea zahanati au vyumba vya madarasaKuelekea mkutano wa ccm hapo kesho jijini Dodoma leo hii zimetumika mali za umma kupandisha bendera za chama hicho kama inavyo onekana hapo chini.
Kwa wajuzi wa mambo ya kisiasa tunaomba mtuelekeze kama ni sahihi chama cha kisiasa hasa kwenye mfumo wa vyama vingi kutumia rasilimali za umma kufanikisha shughuli binafsi kisiasa. View attachment 1499907
Huu utaratibu upo kwa mujibu wa kanuni gani? Mbona hawatangazi na sisi tutumie huduma zao?Unalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.
Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
Yaani Mbowe kama angekuwa bado yuko magereza ingefaaa sana apigwe picha akiweka vizuri hivo vibendera. Sio mbaya mdude nyagali awakilishe, bwana jela sio mchezo.
ushasema ni ww kwahyo naww n fisiemu auHata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
It is politically abnoxious. Anyway not in anarchyHata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
Kauli ya Dk Bashiru ya CCM kutumia Dola kubaki madarakani yamtokea puani, apigwa kila kona – Bongo LeoGari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
hii mpya acha ninywe maji kwanzaGari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Uo ni unyonyaji why wafanyishwe kazi Hali tunawalipia kila kituAnaewamiliki watumwa mkuu.