Kina nani? Mnadhani kila anaeona ukweli ni CCM? watu mmepoteza dira mnaenda kama wanyama Nyumbu.
Wafungwa wa ccm hao na mjue jinsi tulivyo na uongozi mbovu siku hizi.Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Mbona sijaona wakipandisha.acha unafiki wewe.Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Na nyie maccm mnaenda kama nguruwe tu, kiharamu haramu.Kina nani? Mnadhani kila anaeona ukweli ni CCM? watu mmepoteza dira mnaenda kama wanyama Nyumbu.
Una haraka ya Nini? Bado kidogo tu hapo October hivi vyombo vya umma vitakuwa vyenu chadema wakati rais ni tundu Lissu.Kuelekea mkutano wa ccm hapo kesho jijini Dodoma leo hii zimetumika mali za umma kupandisha bendera za chama hicho kama inavyo onekana hapo chini.
Kwa wajuzi wa mambo ya kisiasa tunaomba mtuelekeze kama ni sahihi chama cha kisiasa hasa kwenye mfumo wa vyama vingi kutumia rasilimali za umma kufanikisha shughuli binafsi kisiasa. View attachment 1499907
Jiandaeni kisaikolojia maana vijana wa lumumba hamuamini kuwa Lissu ndiye rais ajayeUna haraka ya Nini? Bado kidogo tu hapo October hivi vyombo vya umma vitakuwa vyenu chadema wakati rais ni tundu Lissu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Na magari yao pia yanakodishwa?Hata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
Bado tu kuambiwa ukitaka ajira au huduma yoyote serikalini lazima uonyeshe kadi yako ya CCM.
Watanganyika tusikubali huu ujuha
Na magari yao pia yanakodishwa?
Kuwatumia unaweza ila kumbuka hao wafungwa wapo chini ya chombo cha dola ..ambavyo vyombo hivyo vya ulinzi havihusian na Mambo ya siasa.Hata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
KWA NAMNA HII NITAENDELEA KUICHUKIA CCMGari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Hii ni aibu sana.. shida ipo kwenye haya majeshi yetu. Kuna watu hawajielewi kabisa