Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Bado tu kuambiwa ukitaka ajira au huduma yoyote serikalini lazima uonyeshe kadi yako ya CCM.
Watanganyika tusikubali huu ujuha
 
Kina nani? Mnadhani kila anaeona ukweli ni CCM? watu mmepoteza dira mnaenda kama wanyama Nyumbu.
Na nyie maccm mnaenda kama nguruwe tu, kiharamu haramu.
Screenshot_20200628-103658.jpg
 
Kuelekea mkutano wa ccm hapo kesho jijini Dodoma leo hii zimetumika mali za umma kupandisha bendera za chama hicho kama inavyo onekana hapo chini.

Kwa wajuzi wa mambo ya kisiasa tunaomba mtuelekeze kama ni sahihi chama cha kisiasa hasa kwenye mfumo wa vyama vingi kutumia rasilimali za umma kufanikisha shughuli binafsi kisiasa. View attachment 1499907
Una haraka ya Nini? Bado kidogo tu hapo October hivi vyombo vya umma vitakuwa vyenu chadema wakati rais ni tundu Lissu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Umeona kadi ya gari inasomeka gari ya magereza? Mleta mada Mara ingine mnajitafutia jela bure

Hata traffic huwa haamini hi gari ya Nani kea kuangalia plate number sembuse wewe
 
Wanataka kuturudisha kwenye zama za ujima
Bado tu kuambiwa ukitaka ajira au huduma yoyote serikalini lazima uonyeshe kadi yako ya CCM.
Watanganyika tusikubali huu ujuha
 
Hii ni aibu sana.. shida ipo kwenye haya majeshi yetu. Kuna watu hawajielewi kabisa
 
Hata wewe unaweza kuwatumia wafungwa kwa shughuli yoyote ila kuna malipo unalipia, Sio kesi!
Mimi washanivunia sana mpunga
Kuwatumia unaweza ila kumbuka hao wafungwa wapo chini ya chombo cha dola ..ambavyo vyombo hivyo vya ulinzi havihusian na Mambo ya siasa.

Yani hata kama ni shughuli ya malipo sio kwenye siasa..tunakosea tujirekebishe.
 
Kuna tatizo katika hili la wafungwa kupandisha bendera za CCM mitaani ,

Au labda hawa wafungwa ni tawi la CCM kule gerezani,wajuvi tubarishane mawazo hapa??
IMG_20200707_151227.jpg
IMG_20200707_151233.jpg
IMG_20200707_151247.jpg
 
Waache wapandishe, chama chenyewe ni cha wafungwa waliokosa uhuru wa kuamua zaidi ya kuamliwa na mtu mmoja,ndio maana watu wenye akili kama Membe wametoroka kwenye gerezaccm.
 
Back
Top Bottom