Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Ndiyo maana tunaipigania Katiba Mpya usiku na mchana ili tu kuondokana na hii ya 1977 ambayo iliandaliwa kwa lengo la kukibeba chama cha mapinduzi na pia kukifanya kuwa chama dola.
 
Unamlipa Nani mtumwa au anaewamiliki watumwa
Unalipa magereza, hilo sio tatizo.
Litakuwa tatizo kama watatumiwa bila malipo, i.e serkali kupitia magereza wasilipwe.

Hata wewe unaweza kuwaita kulima au kazi yoyote halafu unalipa.
Ni sawa na kuchukua polisi akulinde unailipa serkali
 
Hivi CCM hawana hela, hawana washauri kiasi kwamba majukumu ya chama inafanywa na taasisi za Umma?? wanakwama wapi?
 
Kweli mkuu lkn bado kuna watu wanashangilia tu
Kuwatumia unaweza ila kumbuka hao wafungwa wapo chini ya chombo cha dola ..ambavyo vyombo hivyo vya ulinzi havihusian na Mambo ya siasa.

Yani hata kama ni shughuli ya malipo sio kwenye siasa..tunakosea tujirekebishe.
 
Wenzio wanamendea msamaha, usiwaone wajinga sana... wameshajua nini dawa!
 
Hiyo kodi inakusanywa na nani? Serikali inaongozwa na nani?hivi hua mnafikiri kwa kichwa au makalio?huwezi kutenga chama serikali na chochote kile ktk nchi..popote duniani
Jipige kifua Mara mbili halafu kwa sauti tamka maneno " Mimi ni zuzu"
 
Wapinzani wakiambiwa nchi hii bila tume huru hakuna Uchaguzi huwa hawaelewi, wao wanakimbilia kuvaa nguo nyeupe[emoji23][emoji23]
 
Wamekula tenda ya CCM. Kwa hiyo hakuna tatizo hapo zaidi ya kujiingizia kipato. Si unajua wameambiwa wajitegemee.
 
Upinzania mkiwahitaji mkawaombe.. mfungwa ni kufanya kazi pia.. na chama tawala ni CCM.. hakuna shida hapo
 
Aibu Sana
Hiyo Dodoma Ndiyo Zoezi Kubwa Huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…