Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wengi sana tunaichukia sana, na vizazi vinavyokuja
KWA NAMNA HII NITAENDELEA KUICHUKIA CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA NAMNA HII NITAENDELEA KUICHUKIA CCM
Unalipa magereza, hilo sio tatizo.Unamlipa Nani mtumwa au anaewamiliki watumwa
Hii ni aibu ya karne kwa ccm!
Kuwatumia unaweza ila kumbuka hao wafungwa wapo chini ya chombo cha dola ..ambavyo vyombo hivyo vya ulinzi havihusian na Mambo ya siasa.
Yani hata kama ni shughuli ya malipo sio kwenye siasa..tunakosea tujirekebishe.
Jipige kifua Mara mbili halafu kwa sauti tamka maneno " Mimi ni zuzu"Hiyo kodi inakusanywa na nani? Serikali inaongozwa na nani?hivi hua mnafikiri kwa kichwa au makalio?huwezi kutenga chama serikali na chochote kile ktk nchi..popote duniani
Wapumbavu kama wewe huwa hamkosekaniHakuna tatizo lolote lile ccm ndio yenye serekali