Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Magereza ni ya ccm ondoa shaka oGari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Dah. Noma sanawanaitaga mwaka wa uchaguzi picha za minato zinakuwa nyingi sana mkuu
Ndiyo mbeleko iliyobaki kwa CCM kuzidi kubakia madarakani, kihoja kimebaki kuwa mufilisi na mfu. Ni fedheha kubwa kwa chama kinachojinasibu kwa ukongwe barani Afrika.Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Kwa huu UPUMBAVU unaofanywa na serikali ya Jiwe historia itahukumuGari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
View attachment 1499913
Swali zuri sanaKwani hiyo serikali inaongozwa na pesa za chama gani?
ULITAKA WABANDIKE BENDERA ZA YANGA AMA
TULIENIKAZII IMEANZA I
KWA MSIOJUA IKO HIVI
MAGEREZA IMESHAURIWA KUANZA KUWATUMIA WAFUNGWA HUKU WAKIPATA MASLAHI KADHAA
MF HAPA DAR KWA WALE WA MATOFALI WANAELEWA WANAJENGA KAMA AWANA AKILI NZURI JE CCM.WAKINUNUA N VIBAYA HAYO MATOFALI
TUJE UJENZI PALE UNAPONUNUA WANAKUULIZA KAMA UNA MAFUNDI HUNA UMAWAKODISHA WANAKUJENGEA MWANZO MWISHO NA BAADHIYAOO N WAFUNGWA KINTOK KITU HUAMINI WE UNAMALIZANA MALIPO NA MAGEREZA
2)HII MNAYOONA N KAZI KAMA KAZI ZINGINE PENGINE CCM WAMEWAKODISHA NA WANAWALIPA SHIDA IKO WAPI
KAKODISHENI MUWEKE BENDERA ZA SIMBA BASI
Daah Chadema wanaweza kupewa kosa la kutaka kutorosha wafungwa.Kuna watu wanasema kama una kazi yako unaweza kuwakodi.Chukua mfano CHADEMA au ACT,NCCR nao wakahitaji hiyo huduma ya kupandishiwa bendera mji wote na mabango MKUU wa Gereza atakubali kweli?
PELEKEN BAVICHA WAWEKE TAKATAKA ZENU KAMA AMJAISHIA SEGEREA...A.TUTAKI UJINGA SIKUHIZI HADI WAFUNGWA TUTAWATUMIA VILIVYO
Hili TAGA limenenepeana kama nguruwe lina kazi ya kula tuu
View attachment 1500171
Lingine hili levi hadi linarembua
View attachment 1500172
Tumieni hayo shenzy nyie!
Hili TAGA limenenepeana kama nguruwe lina kazi ya kula tuu
View attachment 1500171
Lingine hili levi hadi linarembua
View attachment 1500172
Tumieni hayo shenzy nyie!