Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

IMG_20200707_174527.jpg
 
KWA MSIOJUA IKO HIVI
MAGEREZA IMESHAURIWA KUANZA KUWATUMIA WAFUNGWA HUKU WAKIPATA MASLAHI KADHAA

MF HAPA DAR KWA WALE WA MATOFALI WANAELEWA WANAJENGA KAMA AWANA AKILI NZURI JE CCM.WAKINUNUA N VIBAYA HAYO MATOFALI

TUJE UJENZI PALE UNAPONUNUA WANAKUULIZA KAMA UNA MAFUNDI HUNA UMAWAKODISHA WANAKUJENGEA MWANZO MWISHO NA BAADHIYAOO N WAFUNGWA KINTOK KITU HUAMINI WE UNAMALIZANA MALIPO NA MAGEREZA

2)HII MNAYOONA N KAZI KAMA KAZI ZINGINE PENGINE CCM WAMEWAKODISHA NA WANAWALIPA SHIDA IKO WAPI

KAKODISHENI MUWEKE BENDERA ZA SIMBA BASI
 
Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM

View attachment 1499913
Ndiyo mbeleko iliyobaki kwa CCM kuzidi kubakia madarakani, kihoja kimebaki kuwa mufilisi na mfu. Ni fedheha kubwa kwa chama kinachojinasibu kwa ukongwe barani Afrika.
 
Yani wafungwa wanapigishwa kazi za mataga!
hizo kazi miaka yote hufanywa na vijana wa Lumumba kwa ujira wa kibarua.
 
Nonsense
KWA MSIOJUA IKO HIVI
MAGEREZA IMESHAURIWA KUANZA KUWATUMIA WAFUNGWA HUKU WAKIPATA MASLAHI KADHAA

MF HAPA DAR KWA WALE WA MATOFALI WANAELEWA WANAJENGA KAMA AWANA AKILI NZURI JE CCM.WAKINUNUA N VIBAYA HAYO MATOFALI

TUJE UJENZI PALE UNAPONUNUA WANAKUULIZA KAMA UNA MAFUNDI HUNA UMAWAKODISHA WANAKUJENGEA MWANZO MWISHO NA BAADHIYAOO N WAFUNGWA KINTOK KITU HUAMINI WE UNAMALIZANA MALIPO NA MAGEREZA

2)HII MNAYOONA N KAZI KAMA KAZI ZINGINE PENGINE CCM WAMEWAKODISHA NA WANAWALIPA SHIDA IKO WAPI

KAKODISHENI MUWEKE BENDERA ZA SIMBA BASI
 
PELEKEN BAVICHA WAWEKE TAKATAKA ZENU KAMA AMJAISHIA SEGEREA...A.TUTAKI UJINGA SIKUHIZI HADI WAFUNGWA TUTAWATUMIA VILIVYO
 
Kuna watu wanasema kama una kazi yako unaweza kuwakodi.Chukua mfano CHADEMA au ACT,NCCR nao wakahitaji hiyo huduma ya kupandishiwa bendera mji wote na mabango MKUU wa Gereza atakubali kweli?
Daah Chadema wanaweza kupewa kosa la kutaka kutorosha wafungwa.
 
Hili TAGA limenenepeana kama nguruwe lina kazi ya kula tuu
IMG_20200707_182311.jpg

Lingine hili levi hadi linarembua
IMG_20200707_182319.jpg

Tumieni hayo shenzy nyie!
 
Wewe mwenyewe ni mfungwa wa kesho
PELEKEN BAVICHA WAWEKE TAKATAKA ZENU KAMA AMJAISHIA SEGEREA...A.TUTAKI UJINGA SIKUHIZI HADI WAFUNGWA TUTAWATUMIA VILIVYO
 
Hawa watu wameshajikatia tamaa na sasa wameamua semeni mtavyosema ila sisi hatujali.

Kama ni kupoteza, wameshapoteza sasa kwanini wahangaike huku hata muda umeshawatupa mkono?

Hata ile fomu yao kuandikwa ni ya kwenda kugombea uongozi wa vyombo vya dola sio tu ilikuwa lengo ni kutisha, bali ile ilikuwa ni dalili nyingine ya kukiri kukataa kwao tamaa na hivyo hawana tena cha kupoteza (hawawezi poteza mara mbili).

Hata kitendo hiki cha leo ni ishara nyingine ya wao kujikatia tamaa unless huduma hii ya kupandishiwa bendera wameilipa serikalini.

Wangekuwa wanaheshimu wapiga kura, wengeonyesha document kulipia huduma hii au kutoa ufafanuzi lakini kwakuwa hawajali na wamejikatia tamaa, wametuacha tuseme tunavyoweza ila wao hawajali.

Tunaomba document yenye control number kama uthibitisho wa kulipia hii huduma serikalini vinginevyo msilaumu watu kwa wanayoyasema mitandaoni kuanzia huko Twitter, hapa JF na kwingineko.

1594136326244.png
 
Back
Top Bottom