Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Biashara ya kupandisha bendera?? Au hujui maana ya biashara??
Unazani CDM huwa haitoi tenda za kupamba kumbi na kuweka bendela pale Mlimani city? Biashara unayoijua wewe ni ya duka tu au sio?
 
hichi chama ni aibu!

ndiyo maana wengine tumeamua kuchukua off hadi kije kipate kiongozi anayemfikia Mwalimu kiakili japo hata nusu!
 
Unazani CDM huwa haitoi tenda za kupamba kumbi na kuweka bendela pale Mlimani city? Biashara unayoijua wewe ni ya duka tu au sio?
Tutoe tenda ya kupandisha bendera? Na Bavicha wana kz gani? Usiifananishe Chadema na CCM iliyokataliwa hadi na wanachama wake.
 
Ni aibu kubwa kwa CCM kutumia wafungwa kufanikisha mambo yake!

Hizi ni dalili za wazi kuwa CCM ilishakufa kitambo, na uchaguzi ujao ni mapambano kati ya wananchi dhidi ya dola.

 
Sio itumie wafungwa! Sema itumie jeshi la Magereza?

Hii ni kashfa kubwa sana. Tungekuwa nchi za wenzetu watu wangetoka madarakani hata raisi kwa hii scandal tu.
 
Yaani Mbowe kama angekuwa bado yuko magereza ingefaaa sana apigwe picha akiweka vizuri hivo vibendera. Sio mbaya mdude nyagali awakilishe, bwana jela sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…